RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Huna hoja!Nimewaambia wote wenye vichwa vigumu,Kuanzia nyota tatu ndio kamisheni inaanza kwa polisi.Na Nimewaambia wakuu wa polisi wa wilaya (OCD) wanaanza na nyota 3 (ASP),SP hadi SSP,inategemea na idadi ya maafisa na vyeo vyao waliopo mkoani.Na sio ACP.

Sasa kama OCD ana majukumu ya kusimamia usalama wa wilaya na ni mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama.
Ina maana hata Rais anapokuwepo kwenye wilaya yake ana wajibu wa kumlinda.Hata kwenye msafara wa Rais, gari ya OCD inatangulia mbele,ya Rais inafuata nyuma yake.

Sasa OCD mwenye nyota 3(ASP),au SP unasemaje hana kamisheni?Na kamisheni ni mamlaka ya Rais ofisa anakasimishwa na anakula kiapo cha utii mbele ya Rais.Kwamba atamtii Rais na atailinda na kuitetea Katiba ya taifa.

Hoja yangu ni uwelewe maana ya kamisheni na majukumu ya ofisa mwenye kamisheni.Kwa hiyo kama askari anasimamia usalama wa wilaya ujue ana kamisheni na anatekeleza jukumu lake la usalama Kwa niaba ya Rais.
unasema COMMISIONED OFFICER kwa Polisi inaanzia nyota 3,,Jee!!!huyu Afsa wa polisi aliyefariki mwez huu ASP MASOUD nani aliyempa Kamisheni wakati Rais yupo likizo Chato,maana amevaa nyota ya 3 hivi karibuni
 
wewe unasema nyota 3 (ASP -SSP) wanapewa Kamisheni na kula kiapo cha utii mbele ya Rais...Naomba nitajie na kwa mfano ulio hai Mh.Rais Magufuli toka aingie madarakan amewaapisha lini na kuwapa ukamisheni kuanzia ngazi Nyota 3 Polisi hado SSP,,Ilikuwa lini na mwaka gani...
Marehemu ASP MASOUD aliyefariki na kuzikwa majuzi alikuwa ametoka kuvaa Nyota ya 3 (ASP) hiv karibuni na hazikupita hata Wiki 3 akakutwa na Mauti...
Jee!! nani aliyemvalisha Nyota ya 3 ambayo unasema COMMISION ndo inapoanzia na wakati RAIS YUPO LIKIZO..
N.B KAMISHENI YA RAIS ANATOA YEYE TUU.. KAMA AMESAFIRI NA HAYUPO KAMISHENI HAITATOLEWA NA YOYOTE YULE
 
Taratiibu [emoji87][emoji87][emoji87]utakimbiza watu, mtu kishakwambia yeye ni mkulima, usibishane na mkulima mwache tu alime kwa amani asije kujikata na jembe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
hahahhaaaaa ngoja nimuache asije kukimbia huyu Mkulima wa bamia...sijui amejifichia wapi tena
 
wewe unasema nyota 3 (ASP -SSP) wanapewa Kamisheni na kula kiapo cha utii mbele ya Rais...Naomba nitajie na kwa mfano ulio hai Mh.Rais Magufuli toka aingie madarakan amewaapisha lini na kuwapa ukamisheni kuanzia ngazi Nyota 3 Polisi hado SSP,,Ilikuwa lini na mwaka gani...
Marehemu ASP MASOUD aliyefariki na kuzikwa majuzi alikuwa ametoka kuvaa Nyota ya 3 (ASP) hiv karibuni na hazikupita hata Wiki 3 akakutwa na Mauti...
Jee!! nani aliyemvalisha Nyota ya 3 ambayo unasema COMMISION ndo inapoanzia na wakati RAIS YUPO LIKIZO..
N.B KAMISHENI YA RAIS ANATOA YEYE TUU.. KAMA AMESAFIRI NA HAYUPO KAMISHENI HAITATOLEWA NA YOYOTE YULE
Si kweli,Kamisheni inaweza ikatolewa Kwa niaba ya Rais.Mfano maafisa wanafunzi wa JWTZ wamehitimu mafunzo na Rais hayupo,basi itatolewa na mkuu wa majeshi(CDF) Kwa niaba ya Rais.Vivyo hivyo Kwa polisi itatolewa na IGP Kwa niaba ya Rais.

Hata wewe unaweza kuniambia ni lini ulimuona mh Rais Magufuli akiwapa kamisheni hao maafisa wa polisi wa cheo cha ACP?
 
unasema COMMISIONED OFFICER kwa Polisi inaanzia nyota 3,,Jee!!!huyu Afsa wa polisi aliyefariki mwez huu ASP MASOUD nani aliyempa Kamisheni wakati Rais yupo likizo Chato,maana amevaa nyota ya 3 hivi karibuni
Maswali kama haya unaweza kwenda makao makuu ya polisi wakakupa majibu,ni lini alipewa nyota ya tatu,huyo askari uliyemtaja.

Si jukumu langu kujua ni lini alipanda cheo.Hapa tunajadili mfumo na sio mtu mmoja.
 
Si kweli,Kamisheni inaweza ikatolewa Kwa Kwa niaba ya Rais.Mfano maafisa wanafunzi wa JWTZ wamehitimu mafunzo na Rais hayupo,basi itatolewa na mkuu wa majeshi(CDF) Kwa niaba ya Rais.Vivyo hivyo Kwa polisi itatolewa na IGP Kwa niaba ya Rais.

Hata wewe unaweza kuniambia ni lini ulimuona mh Rais Magufuli akiwapa kamisheni hao maafisa wa polisi wa cheo cha ACP?
Ni lini uliwahi kusikia JWTZ wamepewa kamisheni kwa niaba? Acha uzushi. Ni rais pekee narudia ni rais pekee.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Ni lini uliwahi kusikia JWTZ wamepewa kamisheni kwa niaba? Acha uzushi. Ni rais pekee narudia ni rais pekee.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Unaweza kwenda mbele zaidi hata makao makuu ya jeshi ukawauliza kwamba hili linawezekana?Au hata ofisi ya Rais Ikulu.

Wanayo majibu ya maswali yako.Sitokujibu Kwa ubishani wa kitoto usiokuwa na hoja.

NIMEMALIZA MJADALA.
 
Hata usipojibu ukweli ni kwamba hakuna kitu kama hicho, watu washafeli kwa kumsubiria tu Rais arudi safari zake ili waapishwe then we unaejiita mkulima unabisha! Endelea kubisha ukikataa ukweli lakini utaambiwa tu. Hata ukiukataa kimpango wako.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Si kweli,Kamisheni inaweza ikatolewa Kwa niaba ya Rais.Mfano maafisa wanafunzi wa JWTZ wamehitimu mafunzo na Rais hayupo,basi itatolewa na mkuu wa majeshi(CDF) Kwa niaba ya Rais.Vivyo hivyo Kwa polisi itatolewa na IGP Kwa niaba ya Rais.

Hata wewe unaweza kuniambia ni lini ulimuona mh Rais Magufuli akiwapa kamisheni hao maafisa wa polisi wa cheo cha ACP?
daaaaahhh basi mjadala uishe maana kama unasema KAMISHENI YA JWTZ inaweza kutolewa kwa niaba na CDF kama Rais hayupo....Hakuna unachokijua mzee ila mjadala uishe baki unavyojua hivyo hivyo..
 
Hata usipojibu ukweli ni kwamba hakuna kitu kama hicho, watu washafeli kwa kumsubiria tu Rais arudi safari zake ili waapishwe then we unaejiita mkulima unabisha! Endelea kubisha ukikataa ukweli lakini utaambiwa tu. Hata ukiukataa kimpango wako.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
achana naye huyu jamaa abakie anavyojua hivyo hivyo
 
Maswali kama haya unaweza kwenda makao makuu ya polisi wakakupa majibu,ni lini alipewa nyota ya tatu,huyo askari uliyemtaja.

Si jukumu langu kujua ni lini alipanda cheo.Hapa tunajadili mfumo na sio mtu mmoja.
Hili sio jibu la hoja uliyoulizwa mkuu,
 
Yuko sahihi Assistant Commissioner ni sawa na Canal kwa TPDF rank ya juu yake kwa TPDF ni Brigadea General na Senior Assistant Commissioner kwa wizara ya mambo ya ndani, sijui kuhusu salary scale over.
Salary inaweza kua sawa ila huyu ACP atamzidi mwenzake kwa kuchukua rushwa toka kwa wahalifu
 
Mkuu wa majeshi ya ulinzi Tanzania General Mabeyo VS Mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP Sirro
Yote hayo ni madaraka tu ndo maana wote wanachaguliwa na raisi na muda wao ukiisha wanakuja wengine na wao wanarudi kwenye vyeo vyao vya kawaida kama jwtz anarud kuwa Lieutenant General and police anarud kuwa CP

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi unajua kuna nchi zina majenerali kibao? General sio ndio mwisho mzee, kuna field marshal, uteuzi unapewa kuwa cdf,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachotakiwa kuelewa mkuu ni kwamba sheria ya ulinzi wa taifa yenyewe imesema kwamba kamisheni za tpdf zitatolewa na imetumia neno 'shall' ikimaanisha kwamba ni lazima zitolewe na Rais, lakini nyota 1 za majeshi mengine zinatolewa na waziri,katibu mkuu au hata kiongozi wa juu kabisa wa jeshi husika (igp,cgp,CGI,)
Kamisheni ni kitendo cha rais kumkasimisha mtu mamlaka Fulani askari .
Unatakiwa kwanza kuelewa nini maana ya neno Kamishen. Hiyo kamishen wether imefanywa na Rais au Waziri ni kamishen tu. Na kwakawaida Kamishen ni ya Rais hata ifanywe na nani hakuna kamisheni ya Waziri au Katibu Mkuu unapaswa uelewe hicho. Rais hawezi kuwepo kila sehemu na akafanya kila kitu.

Je hao maafisa woote wa kati wanaovalishwa vyeo na wakuu wa vikosi au Generali sio commissioned officers kwa sababu hawajapewa na Rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman mim niwe mkweli napenda xaan kutumikia JWTZ japo ni mtumishi wa afya cjaajiliwa serikalin lakin napenda jeshi la wananchi jwtz kuliko ki2 chochte lakin nakosa pa kuanzia japo na mfumo wa sas umebadilika kidg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom