RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Rais kuwepo katika kufunga mafunzo Haina maana kuwa ndio Kamisheni hiyo!! Mfano Rais akishiriki hafla ya kumaliza mafunzo ya awali kabisa ukuruti, nayo hiyo tutaita Kamisheni Mkuu!?

Typed Using KIDOLE
Agiza BIA popote ulipo nakuja kulipa
 
Imeshawahi kutokea

Musuguri na Abdallah Twalipo walivalishwa cheo cha Full General siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Chief unaota??
Hadi kufikia mwaka 1978 jeshi letu lilikuwa na Meja jeneral wawili, Abdallah Twalipo aliyekuwa CDF kipindi hicho na Meja Jeneral Mirisho Sarakikya ambaye alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Kwa mantiki hii Mirisho Sarakikya alikuwa CDF kuanzia 1964 - 1974 na alikuja kupewa cheo cha jeneral akiwa ameshastaafu.
Abdallah Twalipo alishika madaraka ya CDF 1974 -1980. Mwaka 1978 Abdalla Twalipo alikuwa Luteni jeneral na alipewa cheo cha jeneral miaka miwili mbele, inamaana naye pia alikuwa tayari ameshastaafu.
David Msuguri alishika 1980 - 1988, ambapo mwaka 1979 alikuwa na cheo cha Meja jenerali na mwaka 1980 wakati Twalipo alipostaafu ndipo Msuguri alishika madaraka ya CDF ambapo mwaka huo huo 1980 mwezi December tarehe 30 alipandishwa cheo na kuwa Luteni jenerali. Na baadae ndipo akawa jenerali kamili na kustaafu 1988.
Majenerali waliopewa cheo cha ujeneral wakiwa wameshastaafu ni
1. Mirisho Sarakikya
2. Abdallah Twalipo.
Ila msuguri alistaafu akiwa jenerali na ndio wa kwanza kuwa full jeneral akiwa CDF.
Nakungoja hapa...

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Sina access na mafile ya JWTZ ila kama sikosei Musuguri alipanda kuwa Luteni Jenerali akiwa ni mkuu wa operesheni chakaza, wakati Mayunga anavalishwa cheo cha Meja Jenerali ni wakati huohuo Musuguri anavalishwa cheo cha Luteni jenerali

Naweza kuwa siko sahihi sababu mwenzangu una access na mafile
 
Angalia ulichoongea[emoji115]linganisha na hiki unachoongea[emoji116] Vp mbona unabadilika?
Sina access na mafile ya JWTZ ila kama sikosei Musuguri alipanda kuwa Luteni Jenerali akiwa ni mkuu wa operesheni chakaza, wakati Mayunga anavalishwa cheo cha Meja Jenerali ni wakati huohuo Musuguri anavalishwa cheo cha Luteni jenerali

Naweza kuwa siko sahihi sababu mwenzangu una access na mafile
Kumbuka ulisema Twalipo na Musuguri sio Msuguri na Mayunga. Kuwa na kumbukumbu na unachokiandika

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Sina access na mafile ya JWTZ ila kama sikosei Musuguri alipanda kuwa Luteni Jenerali akiwa ni mkuu wa operesheni chakaza, wakati Mayunga anavalishwa cheo cha Meja Jenerali ni wakati huohuo Musuguri anavalishwa cheo cha Luteni jenerali

Naweza kuwa siko sahihi sababu mwenzangu una access na mafile
Kisha unatakiwa uelewe Luteni Jenerali na Meja jenerali sio cheo kimoja hata kama wamevalishwa siku moja.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.
Good uko vzuriii nmeelewa zaidi wengine wanabwabwaja tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako mkorintho huwa ni mnazi sana.
Rank zote huwa zinapatikana kwa kuhitimu kozi flani.
Ninamaanisha rank ya juu kabisa ya polisi ni kamishna...katikati ya makamishna ndipo ndipo mmoja wapo huteuliwa kuwa IGP sawa na utumishi wake jeshini.
Note; kuna makamishna wengi lakini IGP ni mmoja tu...hiki ni cheo cha kiutwala na sio rank
Mrahisishie tu kuwa wote mpo darasa moja ila mmoja anachaguliwa kuwa monitor.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief unaota??
Hadi kufikia mwaka 1978 jeshi letu lilikuwa na Meja jeneral wawili, Abdallah Twalipo aliyekuwa CDF kipindi hicho na Meja Jeneral Mirisho Sarakikya ambaye alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Kwa mantiki hii Mirisho Sarakikya alikuwa CDF kuanzia 1964 - 1974 na alikuja kupewa cheo cha jeneral akiwa ameshastaafu.
Abdallah Twalipo alishika madaraka ya CDF 1974 -1980. Mwaka 1978 Abdalla Twalipo alikuwa Luteni jeneral na alipewa cheo cha jeneral miaka miwili mbele, inamaana naye pia alikuwa tayari ameshastaafu.
David Msuguri alishika 1980 - 1988, ambapo mwaka 1979 alikuwa na cheo cha Meja jenerali na mwaka 1980 wakati Twalipo alipostaafu ndipo Msuguri alishika madaraka ya CDF ambapo mwaka huo huo 1980 mwezi December tarehe 30 alipandishwa cheo na kuwa Luteni jenerali. Na baadae ndipo akawa jenerali kamili na kustaafu 1988.
Majenerali waliopewa cheo cha ujeneral wakiwa wameshastaafu ni
1. Mirisho Sarakikya
2. Abdallah Twalipo.
Ila msuguri alistaafu akiwa jenerali na ndio wa kwanza kuwa full jeneral akiwa CDF.
Nakungoja hapa...

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
hizi nondo ilibidi alipie cha usunbufu mzee mwenzangu
 
Unak
Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.

Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.

Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.

Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.

Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
Unakuja kuja mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom