RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Kapime akili wewe.. Halafu kwann unashupaza shingo kwa kuwa na misinformation????
Chief nipimwe akili kwa lipi, nimechanganya madesa, Luteni jeneral Yakub ndio alikuwa NDC alipokuwa maj general alipopandishwa na kuwa luteni jeneral ndio akawa Chief of Staff na PP Masao ndio mkuu wa NDC kwasasa. Sasa lipi la kupimwa akili hapo! Kuchanganya sometime kunatokea, angalia kote huko nilivyojibu,bwege nazi

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Chief nipimwe akili kwa lipi, nimechanganya madesa, Luteni jeneral Yakub ndio alikuwa NDC alipokuwa maj general alipopandishwa na kuwa luteni jeneral ndio akawa Chief of Staff na PP Masao ndio mkuu wa NDC. Sasa lipi la kupimwa akili hapo! Kuchanganya sometime kunatokea, angalia kote huko nilivyojibu,bwege nazi

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Huu ujinga ni Nani kaandika??
Ni mmoja tu, huyu Masao alishastaafu tangu 2018, alistaafia Pangawe.
 
Huu ujinga ni Nani kaandika??
Nimeandika mimi, lakini pia nimekiri kuwa nilichanganya. Kama ulivyoquote hapo. Sio kama sijui ila nilichanganya tu. Niko tofauti pia kama nilichanganya nakiri, lakini umeona wengine ambao hata unawaambia ukweli hawakubali na hata wakijua ni ukweli hawakubali? Elewa kwamba nilichanganya, tuendelee!

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Umenidia mkuu,
Nilikuwa najua wako wawili ila sikujua mmoja yumo kitengo gani
Huyu masao nilichanganya madesa, mawazo yalikwenda kwa Kamng'wele aliyestaafu Pangawe, nilijichanganya kimtindo.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Chief hapo juu nilijichanganya, nimeliona li Otorong'ong'o limenishukia kama li RSM Chacha Matiku [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Tima yuko Brig Mhona kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na polisi hivyo ni vyeo vyao.ASP(nyota 3) ndio commission inaanzia,na sio ACP.
Kuna jamaa yangu nilihudhuria sherehe ya kupewa commission pale chuo cha polisi,barracks Kilwa road.Ilikuwa mwaka 2007,Rais mstaafu Kikwete ndiye aliye wakabidhi commission.Walikuwa wanapewa nyota ya tatu.Sasa hivi yeye kawa na cheo cha ACP na ni RPC wa mkoa fulani.
Bro acha ubishi na kukaza ubongo,,Tofauti na JWTZ kwa hao wengine COMMISION OFCERS inaanzia Rank ya ACP na kuendelea
 
Unajua maana ya KAMISHEN? kwa taarifa yako kuanzia nyota moja wote ni commissioned officers. Na ndio maana wakitoka katika kundi la NCOs wakipata nyota moja wanabadilishiwa namba. Kufika kwa Rais katika gwaride la kutoa cheo haimaanishi ndo kamishen huo ni utaratibu tu anaweza hata asifike na kamishen ikatekelezeka.

Nikusaidie tu kamishen ni kitendo cha askari kuingizwa katika rejista ya kudumu ya serikali. Sijui huko JKT waliwaambia kamishen ni kitu gani hebu nisaidie na mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaaaahhhh punguza ujuaji mzee JWTZ Ofcers kuanzia nyota 1(2LT) hadi GEN wote ni COMMISION OFCERS...
Police,,Magereza na wengne Kuanzia Rank ya ACP ndio COMMISION OFCERS by President.....Chini ya ACP hao ni NCO(Non Commision Ofcer) wanaitwa Gazzeted Ofcers kwa jina jingine......UJUAJI UTAKUPONZA
 
Tanzania alishakuwepo field Marshall mmoja tu John Okello, alipindua zanzibar peke yake afu akamkabizi karume afu yeye akasepa. Lol!

Sent using Jamii Forums mobile app
Field Marshall John Okello alikuwa ni Raia wa Uganda....
Field Marshall mtu yoyote anaweza kujiita na kujipachika kama Madikteta wengi Iddi Amin + Abdel Fattah el-sisi na wengne weng walivyijitunuku uField Marshall......Field Marshall ina maana yake halisi na sio cheo Rasmi ila ni Cheo cha Sifa na Upekee katika medani ya Uongozaji na upiganishaji wa vita...Ina Vigezo vyake hadi kufikia kutunukiwa na kutambuliwa kama FIELD MARSHALL
 
Sio kweli,Kwa wakati wa Kikwete alikuwa mmoja tu,Abdulhaman Shimbo
wew jamaa una ubishi wa kitoto...Enzi za kikwete Luten GEN walifikia wa4 ila LT GEN Shimbo alikuwa ni Chief of Staff na wengne walikuwa na majukum yao..mtu hadi video + majina umewekewa bado unabisha
 
wew jamaa una ubishi wa kitoto...Enzi za kikwete Luten GEN walifikia wa4 ila LT GEN Shimbo alikuwa ni Chief of Staff na wengne walikuwa na majukum yao..mtu hadi video + majina umewekewa bado unabisha
Kwanini mimi ni mbishi!Wewe kwani sio mbishi?Kwani ni lazima nikubaliane na wewe?Wewe mbona hukubaliani na mimi? Njoo na nguvu ya hoja.

Wewe unafikiri vyeo vinatolewa tu kama pipi ili kufarahisha watu?Unajua ni idadi gani na ukubwa gani jeshi linatakiwa kuwa ili liwe na luteni jenerali wa4 Kwa pamoja?
 
achana na huyu jamaa anayejiita Comrade nadhan ana ndugu police NYOTA 3 sasa anafosi awe ni COMMISION OFCER
Huna hoja!Nimewaambia wote wenye vichwa vigumu,Kuanzia nyota tatu ndio kamisheni inaanza kwa polisi.Na Nimewaambia wakuu wa polisi wa wilaya (OCD) wanaanza na nyota 3 (ASP),SP hadi SSP,inategemea na idadi ya maafisa na vyeo vyao waliopo mkoani.Na sio ACP.

Sasa kama OCD ana majukumu ya kusimamia usalama wa wilaya na ni mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama.
Ina maana hata Rais anapokuwepo kwenye wilaya yake ana wajibu wa kumlinda.Hata kwenye msafara wa Rais, gari ya OCD inatangulia mbele,ya Rais inafuata nyuma yake.

Sasa OCD mwenye nyota 3(ASP),au SP unasemaje hana kamisheni?Na kamisheni ni mamlaka ya Rais ofisa anakasimishwa na anakula kiapo cha utii mbele ya Rais.Kwamba atamtii Rais na atailinda na kuitetea Katiba ya taifa.

Hoja yangu ni uwelewe maana ya kamisheni na majukumu ya ofisa mwenye kamisheni.Kwa hiyo kama askari anasimamia usalama wa wilaya ujue ana kamisheni na anatekeleza jukumu lake la usalama Kwa niaba ya Rais.
 
Mimi sipo Kwa hao uliowataja,Mimi ni mkulima(peasant) na ni mfugaji.

Karibu Laiseli,Kiteto.Manyara, tuendeleze gurudumu.
 
Back
Top Bottom