RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Unajua maana ya KAMISHEN? kwa taarifa yako kuanzia nyota moja wote ni commissioned officers. Na ndio maana wakitoka katika kundi la NCOs wakipata nyota moja wanabadilishiwa namba. Kufika kwa Rais katika gwaride la kutoa cheo haimaanishi ndo kamishen huo ni utaratibu tu anaweza hata asifike na kamishen ikatekelezeka.

Nikusaidie tu kamishen ni kitendo cha askari kuingizwa katika rejista ya kudumu ya serikali. Sijui huko JKT waliwaambia kamishen ni kitu gani hebu nisaidie na mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna upande uko sahihi,anakuwa permanent Kwa upande wa police.Lakini Kwa kamisheni ni mamlaka ya Rais ambapo Kwa polisi wanakasimishwa wakifikia nyota ya tatu(ASP).
 
Kuna upande uko sahihi,anakuwa permanent Kwa upande wa police.Lakini Kwa kamisheni ni mamlaka ya Rais ambapo Kwa polisi wanakasimishwa wakifikia nyota ya tatu(ASP).
Nakupinga mkuu, ASP bado siyo commissioned officer Hadi afikie ACP
 
Army ni Mara nyingi inatumika kwa Vikosi vya ardhini.
Sio mara nyingi,ndivyo inavyokuwa.Usingemjibia hilo swali.Maana yeye alimuuliza mjumbe mmoja hilo swali tena Kwa kujimwambafai.Eti "Unajua kwanini jeshi letu linaitwa defence force badala ya army?"

Ndipo nikamrudishia yeye mwenyewe muuliza swali atupe jibu.Amerukaruka tu.Anakazania na maluteni jenerali sijui wako wanne,sijui wangapi.
 
Sio mara nyingi,ndivyo inavyokuwa.Usingemjibia hilo swali.Maana yeye alimuuliza mjumbe mmoja hilo swali tena Kwa kujimwambafai.Eti "Unajua kwanini jeshi letu linaitwa defence force badala ya army?"

Ndipo nikamrudishia yeye mwenye muuliza swali atupe jibu.Amerukaruka tu.Anakazania na maluteni jenerali sijui wako wanne,sijui wangapi.
Kumbe lilikuwa swali lake Career ! Eeh ila by the way sio mbaya kwa maana lengo ni kujifunza.
 
Chief achana nae huyo anajua kituo tu, itakuwa ni Stesheni sajini huyo![emoji38][emoji38][emoji38]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Mbona hukujibu umesubiri jamaa ajibu,hahahahaaa ni bora useme hujui hata kama Unajua,ni busara pia🤣🤣🤣🤣
 
Shimbo alistaafu na kuagwa 11 November 2012
Kikwete aliwapandisha vyeo wanne kabla ya kuondoka kwake we endelea kukataa
1. Luteni Jenerali PP Massao (TMA)
2. Luteni Jenerali C Makakala (NDC)
3. Luteni Jenerali SC Ryoba (Kitengo cha maafa)
4. Luteni Jenerali PI Meela (Force Commander UNAMID

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Nilishakujibu kawaulize makao makuu ya jeshi wana majibu.Mimi sijui nimekubali.
 
Nilishakujibu kawaulize makao makuu ya jeshi wana majibu.Mimi sijui nimekubali.
Sio wote wanajua hivi vyeo.
images.jpg

Hebu cheki hiki cheo vizuri then uniambie ni cheo gani?

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Haya! Mbeleee tembea, kushoto geuka. Hot, kwenda kulalaaa! Kulia tawanyika [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Watu kama wewe ndo mnasababisha bangi izuiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasasa hiyo collar insignia wanavaa ma- bregadia jenerali.
Collar insignia zilibadilika kwenye 2014

98px-14-Tanzania_Army-BG.svg.jpg

[emoji115]Hii ni Brigedia Jenerali kwasasa
98px-16-Tanzania_Army-LG.svg.jpg

[emoji115]Hii ni Luteni jenerali kwasasa

1589453223106.jpg

[emoji115]Hii ni Brigedia jeneral zamani
1589453631209.jpg

[emoji115]Hii ni Luteni jeneral zamani

Mabadiliko hayo yalifanyika kwenye 2014
Na ndio nahisi kitu kilichokuwa kinakutatiza, pamoja na hapo muundo wa nyota pia ulibadilika kutoka square hadi kwenye 5 point star

images.jpg

[emoji115]Hii picha ya Luteni Jeneral Meela ni kabla ya mabadiliko hayo. Je Meela alikuwa na cheo gani??

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Shimbo alistaafu na kuagwa 11 November 2012
Kikwete aliwapandisha vyeo wanne kabla ya kuondoka kwake we endelea kukataa
1. Luteni Jenerali PP Massao (TMA)
2. Luteni Jenerali C Makakala (NDC)
3. Luteni Jenerali SC Ryoba (Kitengo cha maafa)
4. Luteni Jenerali PI Meela (Force Commander UNAMID

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Kwahiyo mkuu inamaana mabeyo alitokea kuwa meja jenerali na kuwa cdf au ...nieleweshe vzr hapo mkuu
 
Kwahiyo mkuu inamaana mabeyo alitokea kuwa meja jenerali na kuwa cdf au ...nieleweshe vzr hapo mkuu
2015 Alikuwa Meja jenerali, 2016 alipandishwa kuwa Luteni jenerali, mwaka 2017 wakati Mwamunyange anastaafu, Mabeyo alipandishwa kutoka Luteni Jenerali na kuwa Jeneral na kupewa uteuzi wa kuwa CDF [emoji116][emoji116][emoji116]
tapatalk_1589219916038.jpg

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Back
Top Bottom