Nielekeze polepole ndugu nitarlewa tu[emoji120][emoji120][emoji120] Rank ya andengenye alipokuwa mkuu wa zimamoto ni ili? Na mambo yake?Ndugu yangu kuelewa shida wewe [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni hivi rank zinaanzia kwa constable hadi CP lakini among hao CP mmoja tu ndo atachaguliwa kuwa IGP ambacho ni cheo cha madaraka ikiwa na maana kwamba mfano akitenguliwa na rais anarud kwenye cheo chake cha kawaida ambacho ni CP.
Mfano Thobias Andengenye alikuwa ni CP ila aliteuliwa na rais kuwa mkuu wa kikosi cha zimamoto na uokoaji ambacho ni cheo cha madaraka ila baada ya kutumbuliwa na rais hiv Karibun amerud kwenye cheo chake cha CP.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app