RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Kifungu no.147(4) cha katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania kimefafanua mjumuisho wa majeshi yanayotambulika Tanzania, hayo mengine ni sifa na majigambo tu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.

Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.

Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.

Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.

Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
Safi Sana tatizo Hawa police upenda kujilinganisha na JW TZ jaman hao no raia wakakamavu tu .Leo hii mnalinganisha vyeo kwa kazi gani? Labda police wajilinganishe na magereza au uhamiaji na zimamoto ndo wanaendana endana na kuruka kwa pamoja
 
Bora ungekaa kimya kuliko, kujiona unajua, Hujui itifaki ya vyombo vya ulinzi vinapokutana pamoja.
Kweli mdau ufahamu kitu kuhusu suala ilo ndio maana mkuu wa vyombo(idara) vya ulinzi na usalama ni CDF Mabeo. Ina maana IGP ,Mkuu was mageraza ,uhamiaji,usalama wako chini yake ungejua ilo basi usingefananisha vyeo vya makamanda JW na raia wakakamavu Police.
 
Mimi nataka kujua zaidi kuhusu jeshi la wokovu.

Maana kuna sehemu wanasema kwenye sheria ni kosa kwa chama cha siasa au kikundi kufanya kazi zinazo fanywa na vyombo vya ulinzi .sasa najiuliza hawa jeshi la wokovu kaamanda wao mkuu ni nani
 
Cheo cha mwisho Jwtz siyo General, ni Field marshal.

Cheo hicho cha Field mashal hajawahi kutunukiwa afisa yeyote wa Jwtz tangu lianzishwe 1964 lakini kipo.
Field marshal ni askar aliye fanya mapinduz ndiyo anaitwa field mashal ata koplo akipindua nchi ataitwa field mashal
 
Mkuu, ni vema jambo usilolifahamu ama kutokuwa na uhakika nalo ni heri kuliuliza ukapata jibu sahihi ama kukaa kimya.

Tambua kwamba, michango inayotolewa humu Jf members huifuatilia kwa makini ili kujielimisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shortly hapa kuna maafisa wa JWTZ na Polisi wanaparurana. Nawashangaa wote maana mafunzoni kila kitu huwekwa wazi ili kila mmoja ajue mipaka na nidhamu ya kijeshi ili line of duty iwe salama. Wote ni walinzi wa nchi, rudini shule mtoe fair analysis
 
😂Kuna boya kwa ujasiri mkubwa kabisa anadai ikitokea vita polisi lazima apewe mafunzo ya kijeshi, anasahau polisi amepita jkt hivo Ni mwanajeshi na ana ujuzi wa kutumia silaha,huu uzi watu walidanyanyana Sana

Ki ufupi tu Ni kwamba hata jenerali akiua leo basi atakamatwa na constable wa polisi na kupigwa hata makofi, ki ufupi Ni kwamba JwTz na polisi Kila mmoja Ni mwamba upande wake ,hakuna Askari wa Jwtz aliye mkubwa kwa Jeshi la polisi Bali Kuna Askari wa JWtz wanaringana au kuwazidi vyeo polisi

Mnaosema hapa kwamba Askari wa JWtz wanakuwa commissioned na Rais hivo Ni wakubwa na nyota moja yao,Niwambie hivi Rais anahusika katika majeshi yote ni vile tu wanampunguzia majukumu

Ili upandishwe cheo Ni lazima ofisi ya Rais ihusike.hata uwe Mkuu wa kituo OCS
 
Hahahah... alisikika zuzu moja wa Idara ya polisi
 
Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.

Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.

Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.

Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.

Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
Haaa haaa
Nchi ngumu hii, haya basi ni raia, kamuue sasa haaaa haaa
 
Kweli mdau ufahamu kitu kuhusu suala ilo ndio maana mkuu wa vyombo(idara) vya ulinzi na usalama ni CDF Mabeo. Ina maana IGP ,Mkuu was mageraza ,uhamiaji,usalama wako chini yake ungejua ilo basi usingefananisha vyeo vya makamanda JW na raia wakakamavu Police.
Sasa kama CDF ndiye mkuu wa akina IGP,kwanini Rais atembee nao wote kuongeza gharama au CDF husaini posho nakuwagawia akina IGP?
 
Back
Top Bottom