RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Usisahau kuwa IGP ni cheo na sio rank.
CP ndio rank ya mwisho kwa polisi, so CP yoyote aweza kuteuliwa kuwa IGP

Sent using Jamii Forums mobile app

IGP ni cheo cha madaraka na hivyo hivyo hata general ni cheo cha madaraka pia ndo maana huwa wote wanateuliwa na rais

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usisahau kuwa IGP ni cheo na sio rank.
CP ndio rank ya mwisho kwa polisi, so CP yoyote aweza kuteuliwa kuwa IGP

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa point yako maana yake Pia Lieutenant General nayo ni rank ya mwisho ya jeshi na yoyote anaweza kuchaguliwa kuwa general

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
IGP ni cheo cha madaraka na hivyo hivyo hata general ni cheo cha madaraka pia ndo maana huwa wote wanateuliwa na rais

Sent from my iPhone using JamiiForums
IGP ni cheo rasmi cha kipolisi...But CDF ni madaraka ndio maana CDF wa JMT ni General Mabeyo....Lakini huwezi sema IGP wa JMT ni Commissioner Sirro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nina swali moja kutokana na maelezo yako.
Kama IGP ni cheo na sio madaraka kwa nini Tanzania nzima tuna IGP mmoja tu kwa wakati uliopo?
Nilitegemea kama ni cheo basi Tanzania nzima pangekuwa na IGP hata 20.

Mkuu wa majeshi ya ulinzi Tanzania General Mabeyo VS Mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP Sirro
Yote hayo ni madaraka tu ndo maana wote wanachaguliwa na raisi na muda wao ukiisha wanakuja wengine na wao wanarudi kwenye vyeo vyao vya kawaida kama jwtz anarud kuwa Lieutenant General and police anarud kuwa CP

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu mimi nina swali moja kutokana na maelezo yako.
Kama IGP ni cheo na sio madaraka kwa nini Tanzania nzima tuna IGP mmoja tu kwa wakati uliopo?
Nilitegemea kama ni cheo basi Tanzania nzima pangekuwa na IGP hata 20.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimemuelewesha hapo juu natumaini ataelewa na bora umekazia hapo kama kingekuwa ni cheo maana yake tungekuwa Na IGP zaid ya mmoja ila haipo hivyo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimemuelewesha hapo juu natumaini ataelewa na bora umekazia hapo kama kingekuwa ni cheo maana yake tungekuwa Na IGP zaid ya mmoja ila haipo hivyo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Naomba unijibu Rank Za polisi zinaanzia ili mpaka ipi?? Je wakati Sirro anaapishwa Mangu alikuwa na cheo gani? Then nitakuelewa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo inasema official Rank ya mwisho ya police ni CP?
Screenshot_20200510-103908_Chrome.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo inasema official Rank ya mwisho ya police ni CP?View attachment 1445663

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndugu yangu kuelewa shida wewe [emoji28]🤣🤣🤣 ni hivi rank zinaanzia kwa constable hadi CP lakini among hao CP mmoja tu ndo atachaguliwa kuwa IGP ambacho ni cheo cha madaraka ikiwa na maana kwamba mfano akitenguliwa na rais anarud kwenye cheo chake cha kawaida ambacho ni CP.

Mfano Thobias Andengenye alikuwa ni CP ila aliteuliwa na rais kuwa mkuu wa jeshi la zimamoto na uokoaji ambacho ni cheo cha madaraka ila baada ya kutumbuliwa na rais hiv Karibun amerud kwenye cheo chake cha CP.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom