RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Acha upotoshaji wewe, kamisheni ya magereza,polisi,uhamiaji,zimamoto inaanzia ACP - KAMISHNA MSAIDIZI
Unajua maana ya KAMISHEN? kwa taarifa yako kuanzia nyota moja wote ni commissioned officers. Na ndio maana wakitoka katika kundi la NCOs wakipata nyota moja wanabadilishiwa namba. Kufika kwa Rais katika gwaride la kutoa cheo haimaanishi ndo kamishen huo ni utaratibu tu anaweza hata asifike na kamishen ikatekelezeka.

Nikusaidie tu kamishen ni kitendo cha askari kuingizwa katika rejista ya kudumu ya serikali. Sijui huko JKT waliwaambia kamishen ni kitu gani hebu nisaidie na mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kaa kimya hujui sifa za field Marshal nadhan kwa sasa hakuna field Marshall yeyote yule hiko cheo Ni Cha juu Zaid na Cha mwisho kijeshi pata historia ya kina fidel Castro ndio utaelewa vizuri

kilicho akilini kitumie
1. George Marshall
2. Douglass McArthur
3. Dwight D Eisenhower
4. Henry H. Arnold
5. Omar Bradley

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Tanzania alishakuwepo field Marshall mmoja tu John Okello, alipindua zanzibar peke yake afu akamkabizi karume afu yeye akasepa. Lol!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania alishakuwepo field Marshall mmoja tu John Okello, alipindua zanzibar peke yake afu akamkabizi karume afu yeye akasepa. Lol!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo John akiwa ni kiongozi wa jeshi la Serikali ipi? Au ujuavyo wewe mtu kuitwa hivyo ndio tayari yuko hivyo?? Hata mimi ninao uwezo wa kujiita hivyo, je ndio nitakuwa hivyo?? Acha mihemko.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Huyo John akiwa ni kiongozi wa jeshi la Serikali ipi? Au ujuavyo wewe mtu kuitwa hivyo ndio tayari yuko hivyo?? Hata mimi ninao uwezo wa kujiita hivyo, je ndio nitakuwa hivyo?? Acha mihemko.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
ulisema unaningoja, nishakujibu kwamba IGP ni cheo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya KAMISHEN? kwa taarifa yako kuanzia nyota moja wote ni commissioned officers. Na ndio maana wakitoka katika kundi la NCOs wakipata nyota moja wanabadilishiwa namba. Kufika kwa Rais katika gwaride la kutoa cheo haimaanishi ndo kamishen huo ni utaratibu tu anaweza hata asifike na kamishen ikatekelezeka.

Nikusaidie tu kamishen ni kitendo cha askari kuingizwa katika rejista ya kudumu ya serikali. Sijui huko JKT waliwaambia kamishen ni kitu gani hebu nisaidie na mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachotakiwa kuelewa mkuu ni kwamba sheria ya ulinzi wa taifa yenyewe imesema kwamba kamisheni za tpdf zitatolewa na imetumia neno 'shall' ikimaanisha kwamba ni lazima zitolewe na Rais, lakini nyota 1 za majeshi mengine zinatolewa na waziri,katibu mkuu au hata kiongozi wa juu kabisa wa jeshi husika (igp,cgp,CGI,)
Kamisheni ni kitendo cha rais kumkasimisha mtu mamlaka Fulani askari .
 
Haya! Mbeleee tembea, kushoto geuka. Hot, kwenda kulalaaa! Kulia tawanyika [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Huu mjadala umekuwa mrefu Sana na kila mtu anakuja na mawazo na Fikra zake Sasa naomba wajumbe wote kwà kauli moja tumteue mjumbe mmoja tumtume Makao makuu ya JWTZ na POLISi tukiwa tumetaja maswali yetu Yote aende akahoji atuletee majawabu...

Naomba kuwasilisha!!!

Typed Using KIDOLE
 
JWTZ wapo juu kuanzia nyota moja wanapewa na Raisi police vyeo vyao wanapeana wenyewe.Anaeteuliwa na raisi ni IGP tuu.
Huu mjadala umekuwa mrefu Sana na kila mtu anakuja na mawazo na Fikra zake Sasa naomba wajumbe wote kwà kauli moja tumteue mjumbe mmoja tumtume Makao makuu ya JWTZ na POLISi tukiwa tumetaja maswali yetu Yote aende akahoji atuletee majawabu...

Naomba kuwasilisha!!!

Typed Using KIDOLE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameongelea kipindi cha kikwete na walikuwa wapo wanne sio wawili, unachokataa nini?? Nikutajie??

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Sio kweli,Kwa wakati wa Kikwete alikuwa mmoja tu,Abdulhaman Shimbo
 
JWTZ wapo juu kuanzia nyota moja wanapewa na Raisi police vyeo vyao wanapeana wenyewe.Anaeteuliwa na raisi ni AGP tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki cheo ni kipya??
IC ukiita AC au AC ukiita IC basi tayari umeshabadili maana, rekebisha hapo kwanza

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Acha upotoshaji wewe, kamisheni ya magereza,polisi,uhamiaji,zimamoto inaanzia ACP - KAMISHNA MSAIDIZI
Wewe ndiye usiejua na hutajua.Kwasababu umekariri.Ukisisikia mtu anaitwa Kwa cheo chake Assistant commissioner of police ndio Unajua commission inaanzia hapo.
 
Hiki cheo ni kipya??
IC ukiita AC au AC ukiita IC basi tayari umeshabadili maana, rekebisha hapo kwanza

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Tunaomba jibu la swali ulilouliza.
"Kwanini jeshi letu linaitwa defence force badala ya army?"
 
Sio kweli,Kwa wakati wa Kikwete alikuwa mmoja tu,Abdulhaman Shimbo
Shimbo alistaafu na kuagwa 11 November 2012
Kikwete aliwapandisha vyeo wanne kabla ya kuondoka kwake we endelea kukataa
1. Luteni Jenerali PP Massao (TMA)
2. Luteni Jenerali C Makakala (NDC)
3. Luteni Jenerali SC Ryoba (Kitengo cha maafa)
4. Luteni Jenerali PI Meela (Force Commander UNAMID

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Wewe ndiye usiejua na hutajua.Kwasababu umekariri.Ukisisikia mtu anaitwa Kwa cheo chake Assistant commissioner of police ndio Unajua commission inaanzia hapo.
Ndiyo kamisheni yao inaanzia hapo kwa JESHI wao kamisheni inaanzia Nyota 1.
 
Back
Top Bottom