RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

IMG_8147.JPG

Mi naona japo majeshi ni tofauti ila kama umezidiwa cheo lazima upige salute
Kama huyo major wa tpdf anampigia salute CGP wa magereza

I stand to be corrected

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mteuliwa Wa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Anapigiwa Salute Pia Hao Wote Anawazidi Kwa Uteuzi

Kuna watu walikuwa wanabisha kuwa askari wa tpdf hawez kumpigia salute askari wa jesh lingine hata kama amezidiwa cheo ndo maana nikapost hiyo picha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unajua Huyo CGP Cheo Chake Kabla Ya Kwenda Magereza
Huyo Ni Brigedia General Wa TPDF
Wewe usidanganye umma kwa kuongea uongo! Huyo pichani sie brigedia kutoka tpdf.
images.jpeg

Huyu ndie alotoka tpdf
images%20(1).jpeg

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
 
KWA KIFUPI POLISI NA JWTZ NI VITU VIWILI TOFAUTI

POLISI NI SEHEMU YA RAIA WALIOPEWA MAJUKUMU YA KUHAKIKISHA RAIA WANAFATA SHERIA NDANI YA NCHI.

JWTZ NI WATU WASAINI KUFA KWA AJIRI YA KUSIMAMIA ULINZI NA USALAMA WA NCHI NDO MAANA WAKIZINGULIWA HUWA WANAPINDUAGA NCHI AU WAKIONA KIONGOZI ANAWAZINGUA WANAPINDUA NCHI KWA KIFUPI MWANAJESHI HATA KAMA HANA CHEO ANAPOKUTANA POLISI MWENYE CHEO AU NYOTA ANAPIGIWA SALUTE .....

Sent using Jamii Forums mobile app
mkishanunua bangi mnajiona ma SOLDIERS sio

Tafsr neno mwanajeshi Kwanza uelewe

kilicho akilini kitumie
 
KWA KIFUPI POLISI NA JWTZ NI VITU VIWILI TOFAUTI

POLISI NI SEHEMU YA RAIA WALIOPEWA MAJUKUMU YA KUHAKIKISHA RAIA WANAFATA SHERIA NDANI YA NCHI.

JWTZ NI WATU WASAINI KUFA KWA AJIRI YA KUSIMAMIA ULINZI NA USALAMA WA NCHI NDO MAANA WAKIZINGULIWA HUWA WANAPINDUAGA NCHI AU WAKIONA KIONGOZI ANAWAZINGUA WANAPINDUA NCHI KWA KIFUPI MWANAJESHI HATA KAMA HANA CHEO ANAPOKUTANA POLISI MWENYE CHEO AU NYOTA ANAPIGIWA SALUTE .....

Sent using Jamii Forums mobile app

🤣🤣🤣🤣🤣 acha uongo wewe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapa ndo nahitaji ufafanuzi....commisioned nafikiri hii ni mamlaka inayotolewa na raisii na uko JWTZ commisioned officer ni kuanzia LUTENI USU.....

Uko police commsioned officer wanaanzia cheo ganii.....???
Polisi ni kuanzia nyota 3(ASP-Assistant superintendent of police).Huyu analingana na afisa wa jeshi mwenye nyota 1(Luteni usu).Kuhusu huyo RPC wa Arusha ambaye cheo chake ni Assistant Commissioner of Police (ACP),ni sawa na meja wa jeshi tu hawezi kulingana cheo na kanali.Kwa sababu nembo ya bibi na bwana(ngao ya taifa).Ambayo ktk jeshi huanza kuvaliwa begani na afisa wa cheo cha meja na ktk polisi ni kamishina msaidizi wa polisi(ACP).

Kwahiyo kiitifaki IGP wa polisi ni sawa na Meja jenerali wa jeshi.
 
Kifupi Meja wa jeshi hana mfanano na polisi yeyote yule alie chini ya cheo cha kamishna, na kamishna ndio cheo cha mwisho kwa polisi.
Najua watu watapinga hapa

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
 
Unajua Huyo CGP Cheo Chake Kabla Ya Kwenda Magereza
Huyo Ni Brigedia General Wa TPDF
Huyo CGP KASIKE sio CGP wa Sasa alietokea TPDF, Huyo kabla hajawa Mkuu wa chuo Cha maafisa UKONGA alikuwa Mwalimu kwa muda mrefu kule chuo Cha Taifa Cha ulinzi Kunduchi akaja kuwa Mkuu wa chuo Ukonga Ndio akawa CGP, JPM akamuondoa!!

Typed Using KIDOLE
 
KWA KIFUPI POLISI NA JWTZ NI VITU VIWILI TOFAUTI

POLISI NI SEHEMU YA RAIA WALIOPEWA MAJUKUMU YA KUHAKIKISHA RAIA WANAFATA SHERIA NDANI YA NCHI.

JWTZ NI WATU WASAINI KUFA KWA AJIRI YA KUSIMAMIA ULINZI NA USALAMA WA NCHI NDO MAANA WAKIZINGULIWA HUWA WANAPINDUAGA NCHI AU WAKIONA KIONGOZI ANAWAZINGUA WANAPINDUA NCHI KWA KIFUPI MWANAJESHI HATA KAMA HANA CHEO ANAPOKUTANA POLISI MWENYE CHEO AU NYOTA ANAPIGIWA SALUTE .....

Sent using Jamii Forums mobile app
COVID_19 imesababisha bangi ipungue Bei siku hizi!!!

Typed Using KIDOLE
 
Usiwe mwongo wewe! Canal na Brigedia General ni ranks za wakurugenzi tu katika Idara za Wizara mbalimbali. Major General yeye aweza kuwa katibu mkuu au mkurugenzi wa Idara. Infact, ACP naweza sema ni kama Kanali, SACP ni kama Brig. Gen, wakati CP ni kama Major Gen, Deputy IGP ni kama Lt Gen, na IGP ni kama Generali. Huu ni ulinganifu wa vyeo, sio majukumu, kila mmoja ana majukumu yake kwenye kada yake! Huwezi chagua capten akawe mkuu wa jeshi la polisi Tz wakati cheo chake ni sawa na ASP! Itakuwa ajabu sana.
Usisahau kuwa IGP ni cheo na sio rank.
CP ndio rank ya mwisho kwa polisi, so CP yoyote aweza kuteuliwa kuwa IGP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom