abdi ally
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,563
- 2,170
Hv huyo commission officer analingana mshahara na meneja wa shirika lolote lile au hakimu????? Swala la mishahara kila idara inautaratibu wake na ndio maana inatofautiona usikariri kijanaWewe hujui kitu ni mshabiki tu kwa kusikia vijiweni. Zamani instructors wengi wa jeshi hawakuwa na elimu ya kutosha na ndio waliwakaririsha watu uongo. Mnaongea tu from no where, hamuweki hata reference moja. Mmewekewa vifungu vya katiba, sheria za bunge, maana ya commissioned officer. Lakini bado mnabisha bila hoja yoyote. Eti Commissioner wa Polis sawa na Luteni usu, hivi nyinyi mna akiri kweli [emoji23][emoji23][emoji23] hivi mnajua hata mshahara wa commissioner au mnaongea tu.