RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Bado mjadala unaendelea !! Nikweli inabidi tukae kimya maana haituhusu mtalumbana bingwa akipatikana basi mtujulishe.Ingawa inafikirisha sana kwamba hao wanaojadili wana vyeo gani?kwani wenyevyeo husika wasitoe ufafanuzi hii imekaa kama unapokuwa mtoto unaamini baba yako ndiyo mwenyenguvu kuliko wote na akili kuliko wote.
 
Amir jeshi au CIC maana yake ni nini
Amiri jeshi = mtu mwenye uwezo wa kuyaamuru majeshi.

Amir (To command) Ni neno la kiarabu lenye maana kuamuru.
Kaa chini tuliza kichwa usome function of the president as commander in chief.
 
magu alivaa gwanda lenye kofia yenye maandishi cic,commander in chief.

kenyata alivaa kihuni tu bila kujua maana yake,alivaa gwanda lenye nyota 5.maana yake ni field marshal.cheo kigumu kabisa jeshini ndio maana ni adimu,sifa moja wapo ni kuongoza vita 10 na kushinda zote.
Hahahaha alijivalia Kama urembo tu.
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.
Mnaishia kutaja mara DCP maraa ACP mara ACP mbn uku kwa JWTZ vyeo viko kwa kilefu mtutajie kwa kilefu tupate kuwafundsha wanentu...natamani kujua KOVA, TIBAIGANA NA MKUU WA IDARA MPYA WALIKUWA NA VYEO GANI...
 
Huyo mzee anabwabwaja tu kwa sababu ya madaraka lakini kwa cheo haoni ndani hata kwa mwenye nyota moja wa Jwtz. Wakati yeye ni Assistant comissioner wa police .wenye nyota moja wa jwtz ni Comissioned officer [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Hapa ndo nahitaji ufafanuzi....commisioned nafikiri hii ni mamlaka inayotolewa na raisii na uko JWTZ commisioned officer ni kuanzia LUTENI USU.....

Uko police commsioned officer wanaanzia cheo ganii.....???
 
Commissioner na Assistant commissioner tu, waliobakia kushuka chini ni gazetted officer.
 
Nyota 1 police ni commisioned na jw pia ni ivo ivo japo haya mambo kwa jw yalikuwepo sana..
 
N
Acha uzwazwa kila guard huwa na askar wa jeshi husika acha kutudanganya mara ngapi tunaona katika sherehe mbali mbali za kitaifa na sema parade commender huwa Ni tpdf koz majeshi mengne huwaalikwa katika sherehe hzo wadanganye wasiona na kujua
Parede kamanda inategemea wamemchagua nani kuna kipindi aliwahi kua wa magereza
 
Commissioner na Assistant commissioner tu, waliobakia kushuka chini ni gazetted officer.
Unajua Kuna Watu Wengi Sana Wanafanya Eti Kutetea Vitu Vipo Wazi
Ulichosema Ndiyo Sahihi
Wengine Ni WP Wanatetea Tu
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.
That right

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.

Ya ni kweli

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom