RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

brigade ni kanda sio mkoa.
hapa ndio utajua rpc anajua anachokiongea.
We mzee sasa Kanda na mkoa ipi inakuwa kubwa, kwa maana mkoa ni mmoja lakini kanda inajumuisha mikoa zaidi ya miwili!
Mfano kanda ya Magharibi inajumuisha mikoa kama vile Kigoma, Tabora na Katavi.
 
Ngoja nimjibie: Non paramilitary means its not ½military not military at all[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
It means its not military
Its not paramilitary
Its Civil authority [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Cc Polo aka Constable mjuba
Yupo zamu hadi kesho asubuhi atakujibu
 
Yupo zamu hadi kesho asubuhi atakujibu
[emoji38]Asije akajimiminia risasi tu, maana Stress zinawasumbua sana hawa, na wanakosa stress management bado akiingia Jf mnampa makavu![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
We mzee sasa Kanda na mkoa ipi inakuwa kubwa, kwa maana mkoa ni mmoja lakini kanda inajumuisha mikoa zaidi ya miwili!
Mfano kanda ya Magharibi inajumuisha mikoa kama vile Kigoma, Tabora na Katavi.
ndio ninachomaanisha mzee au hujanielewa!
 
Leo nimecheka Sana mpaka .na ujinga usiokuwa na uelekeo sasa inaenda wiki ya pili .Polisi siyo Mwanajeshi ni RAIA mkakamavu sawa kabisa sasa unataka upigiwe salute ya nini wakati huyo ni Raia tu? haaaaaa.Salute salute salute Hivi hapa Tanzania kilianza nini kati ya TPDF na Tanzania Polisi? .Mimi huwa naona huku mitaani tu kuwa mtu anayeitwa mabregedia jenerali ndiyo wanapewa huduma saws na ACP wa Polisi yaani kuanzia makazi ulinzi mpaka Heshima katika jamii Ila hao Vinyota kimoja na viwili sehemu zote mbili maisha yao yanalingana tu na magumilu aahaa kwa ufupi wanataabika tu .Sasa inabidi Serikali itambue kuwa ACP wa Polisi anatakiwa aishi kama Luteni Usu wa Jwtz maana kinachofanywa sasa ni upendeleo mbaya sana.Haaaaaaaaaaaaaaa
 
Ila police wanafursa nyingi sana kuliko Jw ndo mana police unawakuta wako vzr masuala ya nyumban
Sikweli Nenda mikocheni, kijitonyama, Sinza kama utakuta kuna polis wakawaida ana miliki nyumba, polis kiualisia Maisha yao magumu kwa sababu pesa zao awawez kuzifanyia maendeleo yakaonekana na yakadumu , kwasababu pesa wanazipata kwa kuwadhulum Raia na kuwauwa kuwa bambika kesi kwaiyo pesa zao zimelaaniwa, tofaut na pesa za askar wa jwat, tembea kote uwezo ulasikia hii nyumba nzur yapolisi.
 
Huko shuleni ulikwenda kusomea ujinga?
Tukisema Military = Jeshi kamili
Paramilitary = Jeshi usu
Non paramilitary = Sio ya jeshi usu
Tunaposema non paramilitary inamaanishwa sio jeshi usu, je ni military? Sio military. Ikiwa kitu sio military wala sio paramilitary it means Civil authority.
Tunaposema may contain military element inamaanishwa ni kwenye matumizi ya silaha sio kama ulivyoelewa wewe (eti kazi za ulinzi)

Ona aibu kwenda kupoteza ada wazazi wako walizokuwa wanakulipia
Tumalize hapo kamanda maana hii lugha ilikuja kwa meli.
 
Mjomba umekariri mbona kaka yangu ambaye ni polisi anamaisha safi tu.
Ana gari(mabasi), nyumba na anaishi maisha laini hata mimi ananisomesha yeye.
Sikweli Nenda mikocheni, kijitonyama, Sinza kama utakuta kuna polis wakawaida ana miliki nyumba, polis kiualisia Maisha yao magumu kwa sababu pesa zao awawez kuzifanyia maendeleo yakaonekana na yakadumu , kwasababu pesa wanazipata kwa kuwadhulum Raia na kuwauwa kuwa bambika kesi kwaiyo pesa zao zimelaaniwa, tofaut na pesa za askar wa jwat, tembea kote uwezo ulasikia hii nyumba nzur yapolisi.
 
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]Karibu maskani tukavute![emoji377][emoji377][emoji377]
Sawa kamanda yote kati ya yote nimegundua hata sheria za kijeshi zimeleta mkanganyiko mkubwa ktk kumtambua afisa wa polisi, ipo ile sheria ya kivita ya Geneva(LOW) imesema , "afisa wa polisi atahesabika kama raia kwenye eneo ambalo vita inapigana". Hapa anamaanisha kwamba kama hakuna vita polisi atabaki kuwa askari.Ila wakati huo huo inatumbua polisi kama 'Civil authority' hapa marekebisho yanahitajika.

Ila kingine nimegundua wanajeshi watz wengi mpo nyuma kwenye suala zima la kusoma katiba mnayojifanya kuilinda, mnalinda katiba ambayo hamjui content yake(huu ni ujuha wa kiwango cha seruji iliyoganda). Katiba inawatambua polisi kama jeshi kamili ila anatokea mtu mwenye elimu ndogo anakwambia polisi ni raia(sio jeshi).[emoji23][emoji23]

IMG_20190912_121533_741.jpeg
 
Mkoa ni mkoa mmoja tu, kanda ni mikoa zauidi ya mitatu, kwa mfano kanda ya ziwa kuna, Mwanza, Mara, Kagera.
 
Sawa kamanda yote kati ya yote nimegundua hata sheria za kijeshi zimeleta mkanganyiko mkubwa ktk kumtambua afisa wa polisi, ipo ile sheria ya kivita ya Geneva(LOW) imesema , "afisa wa polisi atahesabika kama raia kwenye eneo ambalo vita inapigana". Hapa anamaanisha kwamba kama hakuna vita polisi atabaki kuwa askari.Ila wakati huo huo inatumbua polisi kama 'Civil authority' hapa marekebisho yanahitajika.

Ila kingine nimegundua wanajeshi watz wengi mpo nyuma kwenye suala zima la kusoma katiba mnayojifanya kuilinda, mnalinda katiba ambayo hamjui content yake(huu ni ujuha wa kiwango cha seruji iliyoganda). Katiba inawatambua polisi kama jeshi kamili ila anatokea mtu mwenye elimu ndogo anakwambia polisi ni raia(sio jeshi).[emoji23][emoji23]

View attachment 1205274
Wajinga watakubishia [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
na sisi jeshi la akiba tutiririke humu humu au tuanzishe uzi wetu?
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.
Yaani LT WA JW nikutane na visoda vitatu Nipige salute? Mi ni commissioner yeye hana commishen
 
Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.

Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.

Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.

Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.

Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
Hata Zimamoto na Magereza hawaruhusiwi kukamat. Imekaaje hii?
 
Hata Zimamoto na Magereza hawaruhusiwi kukamat. Imekaaje hii?
Kuna mwanajeshi mmoja alikua na shida gerezani kuna ndugu yake alifungwa akaja kumwona, alipofika pale akaomba akutane na mkuu wa gereza ambaye ni ACP akapelekwa kwa mkuu Cha ajabu hakupiga salute wakati yuko full katika uniform kisa yeye ni captain! Mkuu wa gereza akaamuru apelekwe selo ya jela na taarifa ikapekekwa kwa kamanda kikosi wake ndo akaja kumtoa kwa kumwombea msamaha.. ujuaji mwingine waufanye huko vikosini kwao sio kwenye kaz za watu.
 
Duniani hakuna kitu kinaitwa Jeshi la Polisi wala Jeshi la Magereza.Polisi ni Polisi na Polisi ni idara tu.
Duniani ndo kitu gani, mbona mnakuwa wavivu kusoma hata sheria za nchi yenu??? Kila nchi ina taratibu zake Tanzania jeshi linaanzishwa na Katiba pamoja na sheria za bunge. Kwahiyo sheria ikitamka kuwa ni Jeshi inakuwa hivyo. Zipo Nchi ambazo wote polisi magereza na jeshi la ulinzi hujifunza pamoja then wanagawanywa kila mmoja katika majukumu tofauti ndo wanaanza ku-specialise. Kwahiyo kila nchi ina utaratibu wake.

Unachokiongea ni vyeo vya majeshi ya ulinzi ya nchi ndo vinafanana.
 
Siku tuliyomaliza mafunzo ya jkt alikuja RPC kambini,,...co wa kambi alikua meja nilishudia anampigia salute yule mama wakati anashuka kwa gari...inawezekana kweli anachosema uyo RPC wa arusha.
Ukweli ndo huo humu ndani wajinga wengi wanaongea wasichokijua, majeshi yetu yote yanaundwa na katiba moja. Kwahiyo yote yapo sawa yanatofautiana majukumu tu, na tange(seniority).
 
Back
Top Bottom