RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Wewe afisa wa jeshi mwenye elimu ya kidato cha sita naomba tuelewane naposema para means nusu(usu)
Non means ukanusho, kwahiyo 'Non paramilitary' anamaanisha sio jeshi usu bali ni jeshi kamili.Naomba tuelewane!!
Pia fasili imeenda mbali zaidi na kusema "may contain military elements"(kama vile shughuli za ulinzi na usalama)ambazo hata jeshi mnazifanya na ndio maana kuna baadhi ya nchi mfano Kenya, polisi wanalinda mipaka.
Huko shuleni ulikwenda kusomea ujinga?
Tukisema Military = Jeshi kamili
Paramilitary = Jeshi usu
Non paramilitary = Sio ya jeshi usu
Tunaposema non paramilitary inamaanishwa sio jeshi usu, je ni military? Sio military. Ikiwa kitu sio military wala sio paramilitary it means Civil authority.
Tunaposema may contain military element inamaanishwa ni kwenye matumizi ya silaha sio kama ulivyoelewa wewe (eti kazi za ulinzi)

Ona aibu kwenda kupoteza ada wazazi wako walizokuwa wanakulipia
 
Huyo nyota tatu wa polisi ni gazetted officer huyo wa jeshi nyota moja ni kamishina officer ndio maana utaona luteni Chiku Galawa akawa mkuu wa mkoa kitu ambacho kwa polisi hakiwezekani mpaka uwe Senior sana kama kina Mambo now
Fahamu jeshini wanasomea siasa na kikwete alikuwa mwalimu wa siasa jeshini piga kimya Kama huelew mambo
 
Ila inaonekana watu wanabishana bila kujua rpc aliongea kauli ile Kwa logic gan...
Hakuwa anawaponda wanajesh, Bali alikuwa yuko upande wao.. Kwan kulikuwa na mgogoro kama sikosei.... Ila all in all pigen kaz vijana mambo ya vyeo Huwa ni kuongeza kipato tu.. Ukitaka heshima we kuwa na pesa,utapigiwa saluti na mpka Kim Jong Eun ..sasa ww polisi ukimdharau mwanajesh au ww mwanajesh ukimdharau polisi kisa cheo chake kidogo unapata nn?...kila mtu yuko ktk mamlaka yake na Kwa nafasi yake.. Onyesheni ukomavu na busara ktk hili...
 
Wewe mzee non paramilitary means what??
Ngoja nimjibie: Non paramilitary means its not ½military not military at all[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
It means its not military
Its not paramilitary
Its Civil authority [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Cc Polo aka Constable mjuba
 
Back
Top Bottom