Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,914
- 93,671
Kwa hii elimu tegemezi hakuna jipyaRevolution of mind is what matter most.......
Wananchi wakombolewe kifikra kwanza ndipo maendeleo yatapatikana...
Kwa hii elimu tegemezi hakuna jipyaRevolution of mind is what matter most.......
Wananchi wakombolewe kifikra kwanza ndipo maendeleo yatapatikana...
itazimwaHiyo transfoma hapo nyuma ikilipuka je?
Ndugai kaumbuka. Inawezekana baada ya ile mbinu yake kushindwa kurithi urais anajaribu kujipendekeza kwa Mama. Upande mwingine ndugai anaruhusu mijadala ili kumdhalilisha raisGwajima na Samia ni CHANDA NA KIDOLE
Ndugai atakuwa amefuraAkiwa na Mama Samia Askofu Gwajima alipoitwa na Rasi leo aongee alishangiliwa sana nini tafsiri yake?
Aliekuwa anawapitushahuko si alishakufa?nichi yetu inapitia kipindi cha hovyo hovyo sana
Vibaya mno!Ndugai atakuwa amefura
Sasa mkuu unachanja kitu gani kwanza ona hapo walivyojazana! Hiyo corona ingekuwepo kwa kiasi tunachoambiwa na mabavicha unafikri Samia angekusanya watu hapo?Wananchi wamesema hawachanji. Mama ana akili sana ni mwanasiasa aliyekomaa. Kapita kapima upepo.
Aliekuwa anawapitushahuko si alishakufa?
Nyie mabavicha vipi?
Kwanza sasa hivi kirusi kinaitwa delta alafu chanjo yao bado inachanja kile cha kwnza kabisajibu kalipata wananchi hawataki chanjo
Kumbe na wewe huwa unatumia akili mara moja moja!!Kwanza sasa hivi kirusi kinaitwa delta alafu chanjo yao bado inachanja kile cha kwnza kabisa
Watu wa maadili pale mjengoni watanuna!
Bwashee mimi coments zangu natumia akili sana sema ukisoma kibavicha bavicha hutaweza kuona.Kumbe na wewe huwa unatumia akili mara moja moja!!
Ahahahahaaha baghosha!itazimwa
Gwajima,Tukio liko mubashara ITV
Rais Samia akiwa na mbunge wa Kawe wanahutubia wananchi wa jimbo la Kawe eneo la Tegeta manispaa ya Kinondoni.
Kwa sasa askofu Gwajima amepanda kwenye gari ya Ikulu na anatoa salamu za shukrani kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi.
Gwajima anasema wananchi wa Kawe siyo tu Wanampenda mama Samia bali wana mahaba naye.
Helicopter za polisi zinavinjari juu ya anga kuulinda mkutano huu mtakatifu.
Rais Samia amewataka wananchi waendelee kulipa kodi kwani kodi ni kwa maendeleo ya taifa.
Rais Samia amesema anaelekea Bagamoyo katika mtiririko wa uchukuaji picha ya filamu ya vivutio vya utalii wa Tanzania itakayozinduliwa nchini Marekani na kuonyeshwa dunia nzima.
Karibu
========
Katika ziara hiyo Rais Samia pia amekutana na Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima, ambapo Rais ameuhoji umma: “Tunachanja, hatuchanji?” Huku wananchi wakijibu “Tunachanja!”
Askofu Gwajima pia ameshukuru kwa kupata Bilioni 8 kwa ajili ya kurekebisha mitaro ya Kata ya Mbweni ili kudhibiti mafuriko kipindi cha mvua.
“Jambo lingine, ulitupa kila jimbo milioni 500 kwa ajili ya barabara lakini kwenye Jimbo la Kawe ukatupa bilioni 14, ambazo tunatengeneza barabara 115 za jimbo la Kawe za naani kwa mkono wa TARURA.”,
“Shida ya maji iliyokuwepo Nakasangwe, iliyokuwepo Kisanga, tayari matenki yameshajengwa katika maeneo mbalimbali na sasa kuanzia mwezi wa 10 tarehe 15 mradi wa maji yanayotokea Ruvu Chini utakuwa umeshafika Kawe.”
Samahani lakini bwashe. hivi katika mishe mishe za maisha, wakati unahaso na maisha, umewahi kukutana na mgogo yeyote huko kwenye mishe? Nauliza sio kwa ubaya lakini