Royal Tour: Rais Samia asimama Jimbo la Kawe na kusikiliza wananchi kupitia Mbunge wao, Askofu Gwajima

Mpaka sasa hiyo timu ambayo Ndugai aliiunda imtukane Gwajiboy inajuta. Mama kaonesha yupo na Gwajiboy, Sirro na PCCB hawajamkamata Gwajiboy. In short kila anayepinga mawazo na fikra za Dkt Magufuli atafeli vibaya mno. Ili Mama aweze kushinda 2025 abebe maono ya Dkt Magufuli. Mfano leo kagusia misaada ni mibaya.
Usiamini Sana inawezekana ni picha ya nje tu kumbe ndani mtima nyongo.🤣🤣🤣🤣
 
Kwahiyo Mama ni dhahiri kuishi Dodoma hawezi...

Sasa lile liikulu Dodoma La nini. !!!! lingejenga madarasa mangapi!!?

Hivi ku run two state house in a year.. Ni vyumba vingapi vya madarasa..!!?

Nchi hii kmmmk..!!!
 
Hiyo mizigo yake sisi ni madai ya Tume mpya ya Uchaguzi maneno 2025,itakuwa pengine aliweka naziri akiukwaa uraisi fanye siara hinchi nzima
 
SIKU HIZI UMEISHIWA SANA MKUU MWANZO BADALA MSAPOTI SERIKALI MLIKUWA MNASAPOTI MTU MKASAHAU SERIKALI ILIPASWA KUWA TAASISI NA SIO MTU
 
Kwahiyo Mama ni dhahiri kuishi Dodoma hawezi...

Sasa lile liikulu Dodoma La nini. !!!! lingejenga madarasa mangapi!!?

Hivi ku run two state house in a year.. Ni vyumba vingapi vya madarasa..!!?

Nchi hii kmmmk..!!!
Nakazia ...KUMMKEE
HII NCHI HII MMKEEEE
 
Tukio liko mubashara ITV

Rais Samia akiwa na mbunge wa Kawe wanahutubia wananchi wa jimbo la Kawe eneo la Tegeta manispaa ya Kinondoni.

Kwa sasa askofu Gwajima amepanda kwenye gari ya Ikulu na anatoa salamu za shukrani kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi.

Gwajima anasema wananchi wa Kawe siyo tu Wanampenda mama Samia bali wana mahaba naye.

Helicopter za polisi zinavinjari juu ya anga kuulinda mkutano huu mtakatifu.

Rais Samia amewataka wananchi waendelee kulipa kodi kwani kodi ni kwa maendeleo ya taifa.

Rais Samia amesema anaelekea Bagamoyo katika mtiririko wa uchukuaji picha ya filamu ya vivutio vya utalii wa Tanzania itakayozinduliwa nchini Marekani na kuonyeshwa dunia nzima.

Karibu

nichi yetu inapitia kipindi cha hovyo hovyo sana
 
Back
Top Bottom