Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Pole mwaya, nna mpango wa kuandaa Ladies Marathon umbali wa kilometa chache tuu, tutaanza na kukimbia kisha kutembea halafu tunamalizia kwa kukimbia. Tutaomba wanaume wasimame barabarani kutushangilia na kututia moyo kumaliza mbio bila kutegea.
Hiyo itakuwa mwakani.
Back to the topic;
Hongera kwa kushiriki mbio na pole kwa changamoto ulizokutana nazo. Jamaa zangu kadhaa walishiriki hizo mbio ila sikuwauliza kama walimaliza au laah na kama walipata medali au laah.
Ila kuna wakaka flani hivi wako kama 8 hivi, huwa nakutana nao maeneo ya starehe, nawapenda hao wakaka maana huwa wanashiriki marathon nyingi sana.