Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

Pole yetu...😡
Nimeongea na mshiriki mmoja anasema kilichotokea watu waliingia kwenye msafara ambao hawakuwa wameandikishwa kwa uzembe wa waandaaji walitoa medali bila kuangalia namba walizovaa pamoja na gps mgongoni japokuwa sijui kwanini walifanya uzembe huo. Kitu kingine washiriki walitupa karatasi za namba zao njiani kwa hiyo ikawa vigumu kumtambua mshiriki na mzamiaji. Ndio taarifa nilisikia
 
Namba yangu na tracking device yake ninayo, siitupi ndio kumbukumbu pekee nilionayo kwa ushiriki wangu.
 
21km na ukamaliza? Mkuu, you're very healthy na wala usiwaze hizo medali japo ni mapungufu makubwa kutoka kwa waandaaji.

Sidhani kama hata 5km naweza kumaliza kwa sasa, embarrassing!!!
Nilimaliza ingawa kuna km kadhaa nilitembea.
 
It's fine, una afya nzuri. Nipe hints, zinandaliwa wapi na kila mwaka wanafanya? Huenda next time Mungu akitupa uhai nikajiandaa kushiriki, ili niazimie kuwa na mwili wenye afya.
 
Nyerere Day 14th October kila mwaka.
Zinaanzia The Green,Kenyatta Drive Oysterbay.
 
Write your reply...mbona hamzungumzii prize money yaani zawadi kwa washindi
 
Back
Top Bottom