Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

So long as umetimiza azma yako ya kukimbia Marathon you are done. Hivi vienyeji vyetu tuvizoee tu ushingae waandaaji hawana hata forum ya kukupata feedback "Business as usual". Otherwise ku sacrifice Henkel kumi kwa kuweta history ni utamaduni mzuri pia.
Asante
 
Hilo la Medali ni kwel kabisa watu weng sana wamekosa next time wajirekebishe nafikr wanatakiwa kuweka sawa na idad ya watu wanaokimbia hzo distance or less ila sio kwa ratio ya watu elf 10 kwa medali 1500 otherwise it was very nice and Fun.
It was fun hasa unapokimbia km 21 halafu aliekimbia 42km anakuja kukupita!
 
Duh wale jamaa utafikiri wanatumia petrol.....mimi sikuishiwa pumzi ila miguu ilikufa haitaki hata kuruka pavement!
Ila Pia jua kali lilichangia kuchosha watu lami ilikua kama unakanyaga moto vile next time wahakikishe kuanza iwe mapema kabla ya jua...
Kuna jamaa yangu alinambia goti lilipiga stop engine hakutaka shida akaachia njian
 
Hongera kwa kushiriki. Na Mimi mwakani nitajitosa Kili Marathon inshallah. Ngoja nianze kupunguza nyama
Mfano nkiendaga mlima usambara kutembea kutoka msambiazi mpk masange ni km 14 alafu hakuna tambarare ni kupanda ....hapo bia lazima zipungue mwilini
Nishapiga go n return Sema huko Hali ya hewa inaruhusu!

Ova
 
Mfano nkiendaga mlima usambara kutembea kutoka msambiazi mpk masange ni km 14 alafu hakuna tambarare ni kupanda ....hapo bia lazima zipungue mwilini
Nishapiga go n return Sema huko Hali ya hewa inaruhusu!

Ova
Km 14 kupanda na kushuka milima sio jambo dogo etii
 
Back
Top Bottom