Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

Wakuu marathon ifuatayo ni IPI??
inafanyika wapi??
Tujuzane APA tuweze kushiriki maana wengine tuna mapafu ya duma tunayatumia Kwa matumizi yasiyo rasmi
 
Wakuu marathon ifuatayo ni IPI??
inafanyika wapi??
Tujuzane APA tuweze kushiriki maana wengine tuna mapafu ya duma tunayatumia Kwa matumizi yasiyo rasmi
Inayofuata ni Kili Marathon Kama sijakosea. Inafanyika MOSHI
 
Kweli aisee unaanza na starehe wala hukumbuki unatakiwa km ngapi
Tunaanzia kukesha kula nyama na bia bar zote za moshi.. Alafu mbio zikiisha bia zinaendelea tena..

Aaaahh Kili Marathon tamu sanaaa..
 
Back
Top Bottom