Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

Nilimaliza ingawa kuna km kadhaa nilitembea.
Hongera kaka. Nilishiriki Bagamoyo half marathon, ilikuwa nzuri sana, aliyemaliza ndani ya muda alipata medal. Sikuona mapungufu mengi na tulianza mapema. Waliokimbia 5km na 10km hawakupata medal. Hata hyo hawakutakiwa kupewa medal wote, wangetoa kwa 21 na 42 km tuu
 
[emoji119][emoji119] Siwaingilii tena, endeleeni na hiyo marathon yenu ya 10sec.
Potelea mbali... ngoja tukuache na hayo majamaa yanayofanya fujo kujitahidi kuingiza kichwa cha chini kwa nguvu... kule ambako kichwa cha juu kilijitahidi kutoka kwa nguvu...
 
Usiwaonee wivu maana hawapati mambo makubwa sana... Range Rover kwa wife na Harrier kwa vimchepuko ni vitu vidogo sana...
[emoji39][emoji39][emoji39]I love you babu[emoji8]
 
sawa mdogo ake ibilisi
Ngoja nimwambie MoD wafute huu uzi wa kishetani shetani. Eti mnajifanya kuatngaza watu waone rotary ni kitu cha kawaida, eti waone ukijiunga huko u afanikiwa, uongo mtupu nyie ibilisi anawatumikiaha
 
Hongera kaka. Nilishiriki Bagamoyo half marathon, ilikuwa nzuri sana, aliyemaliza ndani ya muda alipata medal. Sikuona mapungufu mengi na tulianza mapema. Waliokimbia 5km na 10km hawakupata medal. Hata hyo hawakutakiwa kupewa medal wote, wangetoa kwa 21 na 42 km tuu
IMG-20181016-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom