ney kush
JF-Expert Member
- Feb 16, 2012
- 1,416
- 947
sawa mdogo ake ibilisiUnamtangaza shetani na ufalme wake.????? Rotary hizo ni ibilisi, ila kama hujui pole sana, mnajifanya kuleta uzi kumtangazia shetani shughuli zake
sawa mdogo ake ibilisiUnamtangaza shetani na ufalme wake.????? Rotary hizo ni ibilisi, ila kama hujui pole sana, mnajifanya kuleta uzi kumtangazia shetani shughuli zake
Samahani boss, macho yangu hayaoni vizuri huo ni mkono, mguu, kiuno ama nini?kumbe ni elfu 5 hiiView attachment 898849
Mi nikikimbia 5Km nadhani mtaniwahisha Regency hospital kupatiwa matibabu ya dharuraDuh 30km! Nitajaribu hata 20km. Nilichukua uamuzi wa kushiriki miezi michache iliopita na mazoezi yangu hayakuwahi kuzidi 13km
macho yako yanaona nini dada anaguSamahani boss, macho yangu hayaoni vizuri huo ni mkono, mguu, kiuno ama nini?
Mi nikikimbia 5Km nadhani mtaniwahisha Regency hospital kupatiwa matibabu ya dharura

Babu bwanaNimenunua mbili 5,000. Wewe ulipewa bure?kumbe ni elfu 5 hiiView attachment 898849
huyo alievaa hapo pichani ndo mwenye nayoNimenunua mbili 5,000. Wewe ulipewa bure?
Kumbe huna pumzi!Mi nikikimbia 5Km nadhani mtaniwahisha Regency hospital kupatiwa matibabu ya dharura
Pole sana
Usikute muandaaji alichukulia poa unajuwa wa TZ hatuko serious katika vitu vyetu ndio yakatokea ya kutokea
siku ingine jiunge na dasani marathoni wale wana medali za kutosha na kila kitu kipo hakuna longolongo mwaka jana nilihudhuria washindi walipewa haki zao hadi bahasha za hela yaani hakuna dhuluma
Mwaka huu inafanyika lini?Pole sana
Usikute muandaaji alichukulia poa unajuwa wa TZ hatuko serious katika vitu vyetu ndio yakatokea ya kutokea
siku ingine jiunge na dasani marathoni wale wana medali za kutosha na kila kitu kipo hakuna longolongo mwaka jana nilihudhuria washindi walipewa haki zao hadi bahasha za hela yaani hakuna dhuluma
Nitatembea shoga angu hiyo fun run ya 5km
HahahahaaMi nikikimbia 5Km nadhani mtaniwahisha Regency hospital kupatiwa matibabu ya dharura
Hahahahah imebidi nicheke kwa sauti uzee bwanaMi nikikimbia 5Km nadhani mtaniwahisha Regency hospital kupatiwa matibabu ya dharura
Unanicheka au?Hahahahaa