Rostam kunyamaza sio bahati mbaya!Anaona mbali. Anajua mambo sio mazuri na asipokuwa makini naye anaweza kuhusishwa na kesi ya Mama ya mauaji huko EU. Lakini anaogopa kampuni zake zisiwekewe vikwazo akashidwa kuchukuwa mikopo au yeye binafsi bank account zake zinaweza kutaifishwa za huko nje kama matajiri wa Urusi. Anaweza kuzuiwa kusafiri kwenye US na nchi nyingine za EU kitu ambacho kita haribu sana biashara zake
Rostam sasa anasubiri namna ya kumweka mtu wake Mchimbi kwenye kiti cha Mama ni matter of time tu. Kwa njia salama au umafia
Njia waliotumia kumuondoa Job Yustino Ndugai ya madaktari ndiyo wataitumia kama biashara za huyu billionea zitakuwa hatarini