Anawaogopa wale Waisrael wa H Young wa Nairobi huyo Caspian yake aliyowajaza Wabulushi ndio ibaki bila ya ushindaniHilo ndiyo tatizo la matajiri wa kibongo
Wanataka wao ndiyo wacontrol pekee yao
Ova
Wewe zamani ulikuwa mstaarabu kwenye hoja, ila umeanza kutukana watu bila ya sababu jirekebishe ndugu.Ewe nyumbu, umeelewa kweli alichosema Rostam?
Au kama kawaida yenu kukurupuka tu
Kumbuka nilikuwa nae CCM huyo kabla sijahamia Chadema alikuwa kijana mpole mjenga hoja na mwenye facts sasa tokea Shujaa wa Mazezeta atuache ghafla jamaa amekuwa kama Mama wa Kizaramo yeye ni kuporomisha matusi tu.Linaboa balaa
Duh..kumbe ushawahi kuwa mccm?? Mnawezaje jamani? Au ulikua una maslahi mzee baba!!Kumbuka nilikuwa nae CCM huyo kabla sijahamia Chadema alikuwa kijana mpole mjenga hoja na mwenye facts sasa tokea Shujaa wa Mazezeta atuache ghafla jamaa amekuwa kama Mama wa Kizaramo yeye ni kuporomisha matusi tu.
Kumchukia tajiri haikufanyi wewe uondokane na umaskini, yani watz tuna mengi ya kujifunz kutoka Kenya wenzetu wako mbali mno japo watz hatupendi kukubali ukwel huu.Mfanya biashara billionea wa Tanzania bwana Rostam Aziz leo akizungumza kwenye kongamano la wafanyabiashara kati ya Tanzania na Kenya kwenye ziara ya rais Samia amesema mazingira ya uwekezaji kati ya hizi nchi mbili hayako sawa....
Huyu ndie chanzo kikuMlisema Miye Mpole Dawa Ni Kuleta Mkali
Naondoka Miye Nawaachia Chuma Hiki
Na Sasa Kimeanza Kutema Che~~Che
Pale Nilipochoka Miye Yeye Atakwenda Kwa Kasi
Nakwenda Msonga Nitalala Usingizi Mzuri
JK πππππππππ π πππππΈ
Nakubaliana na weweMfanya biashara billionea wa Tanzania bwana Rostam Aziz leo akizungumza kwenye kongamano la wafanyabiashara kati ya Tanzania na Kenya kwenye ziara ya rais Samia amesema mazingira ya uwekezaji kati ya hizi nchi mbili hayako sawa...
Nyie Wakenya ni nyoko sanaWewe kama ulibaguliwa ni yako hayo. Waache wenzio wapate experiences zao pia. Kukaa na kusoma kwako KE haimaanishi umepita kila kona ya nchi hii.
Na kama hatufai, basi msije! Simpl
Umeelewa lakini anachosema Rostam?Kumchukia tajiri haikufanyi wewe uondokane na umaskini, yani watz tuna mengi ya kujifunz kutoka Kenya wenzetu wako mbali mno japo watz hatupendi kukubali ukwel huu...
Tunahitaji mabadiliko ya kimfumo haraka iwezekanavyo kama taifa tupige hatua la sivyo tutakua tunapiga mark time kila term ..
Mbona mnateseka sana?!!awamu ya tano imeishaisha hii ni awamu ya sita!!yaani kazi ipo kweli ni kitu cha kuuliza eti nchi ilikuwa imefungwa?kiuchumi!!Samia akicheka na nyani atavuna mabua.
Samia asipende sifa za kijinga kutoka kwa watu hasa wapinzani...
Kama hujui kitu kaa kimya!!yule jamaa achana naye, kuna deal lolote liliofanyika nchi hii kipindi cha nyuma bila kumhusisha yeye?mbona meko alipoingia madarakani hukuona hata kukamatwa tu?Hahah huyo rostam mwenyewe alikimbia nchi,Co. Yake ya Caspian inajua cha moto ilichokipata.
Jiwe sio wa mchezo mchezo.
Huyo naye ndio wale wale tu, kwani hapa kwetu ni miaka mingapi marais wana lalamika juu ya ukiritimba wawekezaji wanakutana nao huko kwa watumishi wa serikali?Rostam kazungumza vyema sana.... πππ