Rostam Aziz na Kikwete watoke watoe maelezo ya kueleweka juu ya kifo Cha Magufuli!

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
337
Reaction score
1,945
Hii sio bahati mbaya hata kidogo

Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.

Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.

Hii sio afya kwa usalama wa nchi

Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?

Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
 
Jiwe alilikosea sana Taifa.
 
Yani ukisikia pia KATOLIKI ni MAJASUSI utanielewa maana toka Bandari iuzwe kwa DP WORLD kanisa langu Katoliki walikua wa kwanza kupinga ubinafsishaji wa Bandari yetu na wakatoa Tamko chini ya Baraza la Maaskofu ila mnakumbuka walionekanaje?

Kwanza Kuna walioona kanisa linaingilia Siasa na Dini ila Ile ni kutu alert kuwa yanayoendelea Sasa hivi nchi inapigwa mtungo mbele na Nyuma (Mande).

Kuna waliokuja na Hoja za Chuki ya Udini kwamba sababu wamepewa Waarabu waislam basi Mapadre wamemind 😂😂😂 hawatapisha vitu vyao Sasa hivi nafikiri mnaona wenyewe Wana mtandao wanavyopasua mabomu ya Hiroshima Kwanza Katoliki Ina shida mpka ililie Bandari😂😂 😂kisa wangeshindwa kulipa ushuru wa Magari yao Land cruiser Mkonge 0Km ya Archdiocese labda wangekua wanaimport Nguruwe🐖🐖🐖kutoka Oman kuja Bongo

Ni jukumu la kiongozi yoyote wa Dini kukemea maovu yanayofanywa na watawala haijalishi hyo mtawala ni nani maana hata Yesu alikosolewa na kukemewa na Mafarisayo sembuse watawala wasikosolewe au wakinya wao choon havinuki kama vinanuka na watakufa ni binadamu lazima ni wajibu wa viongozi wa dini kukosoa Tatizo viongozi wengi wa dini Tanzania Njaa Kali ukichanganya na minyoo
 
Hii sio bahati mbaya hata kidogo

Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.

Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.

Hii sio afya kwa usalama wa nchi

Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?

Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Hawa watu uliowataja watoe maelezo gani wakati kila mtu anajua wanahusika na tukio hilo
 
Waseme nini sasa wakijitikeza maana kila kitu hadharani
 
Mkiipata hotuba ya Mheshimiwa Magufuli pale anazindua stend ya Magufuli aliongea kitu japo siyo direct
Ipo siku mtanikumbuka tena kwa mazuri
Sasa yeye shetani anamzengea kwanini hakutusanua

Ila polepole wanamchukulia kitoto atakuja kulipasua Taifa.
Sisi wasukuma tunasema NRNE.
Kumbe ndugu yetu walimurahakisha away
 
Yani ukisikia pia KATOLIKI ni MAJASUSI utanielewa maana toka Bandari iuzwe kwa DP WORLD kanisa langu Katoliki walikua wa kwanza kupinga ubinafsishaji wa Bandari yetu na wakatoa Tamko chini ya Baraza la Maaskofu ila mnakumbuka walionekanaje?

Kwanza Kuna walioona kanisa linaingilia Siasa na Dini ila Ile ni kutu alert kuwa yanayoendelea Sasa hivi nchi inapigwa mtungo mbele na Nyuma (Mande).

Kuna waliokuja na Hoja za Chuki ya Udini kwamba sababu wamepewa Waarabu waislam basi Mapadre wamemind 😂😂😂 hawatapisha vitu vyao Sasa hivi nafikiri mnaona wenyewe Wana mtandao wanavyopasua mabomu ya Hiroshima Kwanza Katoliki Ina shida mpka ililie Bandari😂😂 😂kisa wangeshindwa kulipa ushuru wa Magari yao 0Km labda wangekua wanaimport Nguruwe🐖🐖🐖kutoka Oman kuja Bongo

Ni jukumu la kiongozi yoyote wa Dini kukemea maovu yanayofanywa na watawala haijalishi hyo mtawala ni nani maana hata Yesu alikosolewa na kukemewa na Mafarisayo sembuse watawala wasikosolewe au wakinya wao choon havinuki kama vinanuka na watakufa ni binadamu lazima ni wajibu wa viongozi wa dini kukosoa Tatizo viongozi wengi wa dini Tanzania Njaa Kali ukichanganya na minyoo
aisee umeongea point kubwa Sana
 
Hii sio bahati mbaya hata kidogo

Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.

Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.

Hii sio afya kwa usalama wa nchi

Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?

Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Walimuua, unataka maelezo gani tena?
 
Mpina naye aliwahi kudokeza kuwa Magufuli aliuawa. Mpina mara kadhaa alisema wazi kuwa kuundwe timu ya kuchunguza kigo cha Magufuli.

Binafsi sikuwahi kuwa mfuasi wa utawala wa kibabe wa Magufuli, lakini kamwe siwezi kuunga mkono mauaji dhidi ya mtu yeyote. Kama tulipiga kelele na kulaani shambulio dhidi ya Lisu, utekaji wa Ben Sanane, na wengineo; basi pia hatuwezi kuunga mkono vitendo hivyo hivyo dhidi ya mwingine yeyote awaye.
 
aisee umeongea point kubwa Sana
Watu hawatanielewa ila nlichojifunza hii ya kupeana URAIS kwa kupokezana mara dini hii au hii mda mwingne kama hamna mtu mwenye vigezo Bora yule atakayepatikana hata kama dhehebu au dini itajirudia apewe maana sio kwa ubaya ila kama Kuna watu wakishaingia mambo yanaharibika Yani THINGS FALL APART mbona Zanzibar hawafanyi hayo mabadiliko UKWELI NI MCHUNGU USEMWE
Cheki Wana mtandao woteee ubini mmoja,dhehebu Moja Ukanda mmoja wa Bahari Yani Daah Mungu tuhurumie Mungu uturehemu🙏🙏😄😄😄
 
Hii sio bahati mbaya hata kidogo

Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.

Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.

Hii sio afya kwa usalama wa nchi

Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?

Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Maelezo gani? Wao ndio walikuwa na Majeshi na Dola? 🤣🤣
 
Hawa watu uliowataja watoe maelezo gani wakati kila mtu anajua wanahusika na tukio hilo

Tungekuwa na vyombo vilivyo huru, na katiba yetu isingekuwa ya mchongo, ilitakiwa wakamatwe mara moja, wahifadhiwe mahali kwa usalama wao, mpaka uchunguzi utakapokamilika.
 
Mpina naye aliwahi kudokeza kuwa Magufuli aliuawa. Mpina mara kadhaa alisema wazi kuwa kuundwe timu ya kuchunguza kigo cha Magufuli.

Binafsi sikuwahi kuwa mfuasi wa utawala wa kibabe wa Magufuli, lakini kamwe siwezi kuunga mkono mauaji dhidi ya mtu yeyote. Kama tulipiga kelele na kulaani shambulio dhidi ya Lisu, utekaji wa Ben Sanane, na wengineo; basi pia hatuwezi kuunga mkono vitendo hivyo hivyo dhidi ya mwingine yeyote awaye.
Aliye Nje ya Dola anawezaje mshughulikia No.1?
 
Back
Top Bottom