ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,084
- 84,978
Ndio nataka kujuaUsijidanganye ndugu!
Ndio nataka kujuaUsijidanganye ndugu!
Mkuu nenda YouTube tafuta video ya mazishi ya magu halafu angalia speech ya chalinze kuna majibu mengi tu yapo muleHii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Na huenda zile risasi alizopigwa Lisu ilikua hujuma kwa Magufuli, wanasiasa ni watu hatari sana!!Mpina naye aliwahi kudokeza kuwa Magufuli aliuawa. Mpina mara kadhaa alisema wazi kuwa kuundwe timu ya kuchunguza kigo cha Magufuli.
Binafsi sikuwahi kuwa mfuasi wa utawala wa kibabe wa Magufuli, lakini kamwe siwezi kuunga mkono mauaji dhidi ya mtu yeyote. Kama tulipiga kelele na kulaani shambulio dhidi ya Lisu, utekaji wa Ben Sanane, na wengineo; basi pia hatuwezi kuunga mkono vitendo hivyo hivyo dhidi ya mwingine yeyote awaye.
UlioandikaUjinga gani mkuu?
Wajitokeze pia waliomuua Ben SaananeWaseme nini sasa wakijitikeza maana kila kitu hadharani
Unataka wajibu tuhuma zipi?Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
We ngedere kapunguze huo ufukara wako na wa ukoo wenu, maskini km wewe unawaagiza au unataka nani awaamuru. Umaskini ni mbaya sana mbaya akili ina umaskini na imedumaa.Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Mlitaka Magufuli Aishi milele?Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Kubomoa system zao ilikua rahisi tu, Sema walimkuta Magufuli Muoga. angemtolea mfano mmoja wapo lazima wengine wangekimbia nchi, Kwa mfano angekua Nyerere au Butiku wange waweza?Hujamsikia polepole hao jamaa wana watu kila mahali!
Muosha huoshwa!Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Kila mmoja atoe hisia na dukuduku lake ili baadaye tunywe mbege tukiwa hatuna husda.Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
POLE POLE KASEMA CUBA MTUNGI WA GESI WA KILO 20 UNANUNULIWA 2000/= ZA TANZANIA.Maelezo gani? Wao ndio walikuwa na Majeshi na Dola? 🤣🤣
Ndiyo walitakiwa wamalizwe na siyo kudili na vyama vya Upinzani, Kosa kubwa alilifanya Magufuli ni kuacha kupapamba na hatari na akaanza kupambana na watu ambao siyo hatari kwake, Yani alitakiwa siku alipo jua wale Viongozi wastaaf wana msengenya ndipo siku ile angemalizana nao siku ile ile tena kimya kimya tena wananchi wangeokota miili yao bila kuwa na shingo barabarabi, sasa yeye aliwaacha mwisho akaondoka yeye.Hujamsikia polepole hao jamaa wana watu kila mahali!
Magu alizingua sana alipotaka amani mahali palipo na vita.Kubomoa system zao ilikua rahisi tu, Sema walimkuta Magufuli Muoga. angemtolea mfano mmoja wapo lazima wengine wangekimbia nchi, Kwa mfano angekua Nyerere au Butiku wange waweza?