SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,796
- 8,980
TrueAcha ujinga
TrueAcha ujinga
Anataka wajitokeze waseme kwa vinywa vyao "TULIMUUA"😀Walimuua, unataka maelezo gani tena?
Kwani wao ni wafanyakazi wa Mzena? Au wakuu wa vyombo ? Maana wakuu wavyombo ndio walio simamia matibabu ya Rais kwa maneno yaoHii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Kuna wakati unachokiogopa ndicho kinachokukuta!Kubomoa system zao ilikua rahisi tu, Sema walimkuta Magufuli Muoga. angemtolea mfano mmoja wapo lazima wengine wangekimbia nchi, Kwa mfano angekua Nyerere au Butiku wange waweza?
Nyerere alitaka kuiondoa hiyo hali kwa kumshawishi Salim Ahmed Salim achukue fomu baada ya mwinyi, bahati mbaya hakushawishika. Hayo ni maneno ya jk.Watu hawatanielewa ila nlichojifunza hii ya kupeana URAIS kwa kupokezana mara dini hii au hii mda mwingne kama hamna mtu mwenye vigezo Bora yule atakayepatikana hata kama dhehebu au dini itajirudia apewe maana sio kwa ubaya ila kama Kuna watu wakishaingia mambo yanaharibika Yani THINGS FALL APART mbona Zanzibar hawafanyi hayo mabadiliko UKWELI NI MCHUNGU USEMWE
Cheki Wana mtandao woteee ubini mmoja,dhehebu Moja Ukanda mmoja wa Bahari Yani Daah Mungu tuhurumie Mungu uturehemu🙏🙏😄😄😄
Hawana na hawajawahi kuwa na Aibu hao unawataja, wala hawaogopi chochote, kila kitu nchi hii wanakimiliki kuanzia vyombo vya Usalama hadi Waganga wa kienyejiHii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Nitamuamini zaidi Polepole siku atakapo wataja waliohusika na kupigwa kwa Lissu risasi, lazima anawajua woteHii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli mtatoboa uchaguzi wa mwaka huu?
Naomba wajitokeze hizi tuhuma ni kubwa Sana wajitokeze wajibu huu uhuni waliofanya!
Huo Ujinga wa kupokezana Wakristo na Waislam Umetungwa tu na Wahuni, haupoNyerere alitaka kuiondoa hiyo hali kwa kumshawishi Salim Ahmed Salim achukue fomu baada ya mwinyi, bahati mbaya hakushawishika. Hayo ni maneno ya jk.
Lakini je ni kweli upande wa pili yaani wakristo wangelipokea hilo kwa moyo kunjufu ukizingatia tulikuwa tumetoka kwenye utawala wa mwinyi ambaye ni muislamu?
Vipi ikitokea watu wakatengeneza hila kwamba upande mmoja tu ndiyo wanaonekana Wana sifa na upande mwingine hawana sifa? Lakini yote kwa yote katiba ya ccm haina utaratibu huo
Ni kweli kabisa, kama mpendwa wetu aliuawa basi vyombo vinavyohusika na ulinzi wake ndiyo vinatakiwa vitueleze vizuri walikuwa wapi wakati hii hali ikitokea.Hapo wakutoka kutoa majibu ni TISS, POLISI, JWTZ, Mahakama, Yaani sisi tumsikilize Rostam na kikwete tena si tutakua Wajinga
Wanaoleta fikra za udini ni hawa ndugu zetu wazee wa Pilau mbuzi Pepsi barid na ndizi mbivu mfuko wa koti!!!Yani ukisikia pia KATOLIKI ni MAJASUSI utanielewa maana toka Bandari iuzwe kwa DP WORLD kanisa langu Katoliki walikua wa kwanza kupinga ubinafsishaji wa Bandari yetu na wakatoa Tamko chini ya Baraza la Maaskofu ila mnakumbuka walionekanaje?
Kwanza Kuna walioona kanisa linaingilia Siasa na Dini ila Ile ni kutu alert kuwa yanayoendelea Sasa hivi nchi inapigwa mtungo mbele na Nyuma (Mande).
Kuna waliokuja na Hoja za Chuki ya Udini kwamba sababu wamepewa Waarabu waislam basi Mapadre wamemind 😂😂😂 hawatapisha vitu vyao Sasa hivi nafikiri mnaona wenyewe Wana mtandao wanavyopasua mabomu ya Hiroshima Kwanza Katoliki Ina shida mpka ililie Bandari😂😂 😂kisa wangeshindwa kulipa ushuru wa Magari yao Land cruiser Mkonge 0Km ya Archdiocese labda wangekua wanaimport Nguruwe🐖🐖🐖kutoka Oman kuja Bongo
Ni jukumu la kiongozi yoyote wa Dini kukemea maovu yanayofanywa na watawala haijalishi hyo mtawala ni nani maana hata Yesu alikosolewa na kukemewa na Mafarisayo sembuse watawala wasikosolewe au wakinya wao choon havinuki kama vinanuka na watakufa ni binadamu lazima ni wajibu wa viongozi wa dini kukosoa Tatizo viongozi wengi wa dini Tanzania Njaa Kali ukichanganya na minyoo
Tutarudi hapaKikwete na Rostam hawataiona christmass
Watamfata Membe
Wanaanzaje kukanusha ukweli, si mchele zaidi utamwagwa hadharani?Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
👊👊Mpina naye aliwahi kudokeza kuwa Magufuli aliuawa. Mpina mara kadhaa alisema wazi kuwa kuundwe timu ya kuchunguza kigo cha Magufuli.
Binafsi sikuwahi kuwa mfuasi wa utawala wa kibabe wa Magufuli, lakini kamwe siwezi kuunga mkono mauaji dhidi ya mtu yeyote. Kama tulipiga kelele na kulaani shambulio dhidi ya Lisu, utekaji wa Ben Sanane, na wengineo; basi pia hatuwezi kuunga mkono vitendo hivyo hivyo dhidi ya mwingine yeyote awaye.

Hata vikaragosi wa dikteta wa zamani wa Romania Nicolae Ceaușescu walikuwa wanasema hivi hivi hadi bosi wao alivyopigwa pini ya kufa mtuKikwete ana akili timamu na ni tajiri.
Rostam pia ana akili timamu, pesa haikai kwa mpumbavu.
Hawawezi kuwajibu nyie matahira
Ukijua hivi...wenzako wanajua vileMagufuli na yeye aluikua muoga sana kwaninu asinge wamaliza yeye,yeye ana jeshi kilicho sababisha kushindwa kujitetea nini