Rostam awaparamia CHADEMA

Aliwahi kunena hilo mwanasiasa mkongwe Dr.Mzindakaya kuwa nchi inaendeshwa na familia 9 tu tajiri, sasa sijui sie wengine tunasubiri nini humu duniani.Moja wapo ni huyo fisadi.

Fisadi yeye au anedanganya mfukoi wa simenti 5,000?
 
Nilitegemea ataongea huhusu umiliki wake w dowans na ushiriki wa baadhi ya magari yake katika njama za kuhujumu maira ya dr mwakyemba na dr slaa na wenzao.
 
Weeeee !!!!!!! unaongea tu, vita kawaulize Kagera halafu urudi hapa JF utuambie tupigane. Kapigane mwenyewe. Siasa siyo vita unayofikiria, ama kweli umenyweshwa sumu tayari ya wazururaji wa mikoani. Mwanaume ni Mzee wa Kiraracha tu anayewapeleka puta viongozi wezi mawilayani siyo kuzunguka na kuzurura mikoani badala ya kuwaletea wananchi maendeleo majimboni mwao. Kazi hiyo labda aachiwe Slaa kwa sababu hana jimbo na anatafuta wachumba mikoani na kuzulia watu vifo, eti alikuwa Padri!!!!! No wonder alishindwa, kageukia wanawake, nao mara azae nao na kuwatelekeza halafu achukue wake za watu na sasa kaeni chonjo katika maandamano, mwenzenu anatafuta wachumba. Na wewe chunga atakupora wa kwako usipo angalia. Bwana awe nanyi.........awe nawe pia........tuombe..... Utamsikia kila mwisho wa hutuba yake. Ama kweli Katibu Mkuu tunaye.

Maisha binafsi ehh!!!!!!! Hivi yule mtoto wa mkwere aliyeolewa majuzi mama yake ni third lady or Fourth lady!!!!!!

Tukiamua kurudi kwenye maisha binafsi ya hawa mafisadi wa ccm itakuwa balaa so please ukiwa unachangia ni vema ukajikita kwenye issues zinazohusu maslahi ya nchi sio kuleta uongo wako juu ya maisha binafsi ya kina Dr. Slaa!!!! Huyu Dr. najua anawanyima usingizi masisadi....... Na bado...:lol::lol:
 
Alisema hata nchi jirani Kenya na Uganda, nazo zimekumbwa na mfumuko wa bei ya bidhaa hizo ambapo bei ya sukari katika nchi hizo ni Sh2,000 kwa kilo sawa na Tanzania.
Fix tupu kwa hiyo Pinda alipotaka apewe majina ya wanaouza sukari kwa bei ya juu ilikuwa changa la macho, tena akaagiza sukari ishuke bei kazi kwenu.
 
Mr Azizi.....Just because your neighbour sleeps on the floor doesn't mean you should be doing the same even if you have the ability to buy a bed
 
RA amesema yeye ni mwanasiasa makini na kamwe hababaishwi na wanasiasa uchwara.

Amesema maisha magumu kwa watanzania hayatokani na CCM, bali mfumo wa kidunia unaoendana na hali halisi ya sasa.


hali ya sasa ya kukumbatia mafisadi kama yeye?
 
Tumewazoea wezi kwa maneno ya kujitia moyo. Hata Gaddafi alisema hivyo, hata kuwaita mende ,je Mubarak wa Misri je?Wezi wengine kule Bahrein, Tunisia ,Yemen nk walisemaje. Iwe hao sembuse wewe?!! Hutoshi subiri mwarobaini unakuja tu kwa wezi wa uchumi.
 
"Nilikutana na Dk Wilibrod Slaa katika uwanja wa ndege wa Mwanza nikamuuliza kuwa nilisikia wakati ukihutubia wananchi wa Musoma kwamba Chadema mkichukua nchi mfuko mmoja wa saruji utauzwa Sh5,000 tu, lakini hakujibu," alisema Rostam.

Alisema kwa mtazamo huo aligundua kwamba maneno wanayozungumza Chadema ni ya kudanganya wananchi ili wawape ridhaa ya kuongoza nchi na si kuwaletea maendeleo kama walivyokuwa wakijinadi.

Duh! huyu jamaa nae kilaza kama mwenzie mkwere!! Yaani kwa vile Dr. Slaa hakumjibu swali lake yeye ameconclude kua Dr. Slaa alikua anadanganya wananchi???
Dr. Slaa pengine alimpotezea kwavile hatki shombo na majizi na wahujumu uchumi kama yeye!! Pengine alimdharau, na kumwona kama sio level yake!
Sasa huyu mberushi sijui muiran nae anaconclude kivyake. Duh kumbe ndo maana hata bungeni hajawahi kuchangia!
 
Hive hukufahamu kwmaba RA ndo mtendaji mkuu wa sissem. Nahisi anatamani kuwania upresident 2015. Ah! ingekuwa amri yangu ningelifukuza hili lisitupid lirudi kwao liache kuibia waTz
 
Jamani hivi mbona antuchezea akili sana huyu mtu ebu fikiria mitaani watu wanamsema vibaya sana tena hata watoto wadogo wanajua ufisadi alioufanya tokea akiwa mweka hazina wa ccm ndiye aliyefisadi epa, kagoda, meremeta, tena kuhusu kagoda hata manji mwenyewe anamtisha kumweka hadharani.

Asijitetee kitu ni fisadi mkubwa sana huyo.
Tena hata kama kuna watu wake humu jamvini wakamwambie mzambia anasema wewe ni mwaribifu wa hii nchi yetu ya neema
 
Back
Top Bottom