czar
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 339
- 5
Mtake msitake RA kasema kweli yy ni mwanasiasa makini, ktk vikao vyote vya ccm hakuna hata mmoja aliyewahi mkemea kwa mwenendo wake, pili katika wabunge wote wa ccm na baadhi ya wapinzani hakuna anayeweza kumsema hadharani sasa kama sio makini tusemaje. Na mwisho wa Tz tumesema weee still jamaa anadunda tu na Dowans inatengenezewa namna ya kulipwa.