sisomagi hilo anurMatoleo mawili mfululuzo ya magazeeti ya Annur yameonyesha uzushi wa Mwakyembe hasa sakata la kutaka kuwawa huku yakimuonyesha Rostam kama mtu safi, na yote yalioelezwa na Mwakyembe kwenye Mwanahalasi ni uzushi mtupu.
yameeleza kwamba yote ya mwakyembe kusingizia watu hao ni uzushi na Ngojera isiyomaana.
SOMA GAZETI LA LEO ANUUR, UTAPATA UZUSHI WA MWAKYEMBE JUU YA ROSTAM
Imeshakuwa hii. Yaani sasa tunawatetea mafisadi simply because ni wenzetu katika dini.
Matoleo mawili mfululuzo ya magazeeti ya Annur yameonyesha uzushi wa Mwakyembe hasa sakata la kutaka kuwawa huku yakimuonyesha Rostam kama mtu safi, na yote yalioelezwa na Mwakyembe kwenye Mwanahalasi ni uzushi mtupu.
yameeleza kwamba yote ya mwakyembe kusingizia watu hao ni uzushi na Ngojera isiyomaana.
SOMA GAZETI LA LEO ANUUR, UTAPATA UZUSHI WA MWAKYEMBE JUU YA ROSTAM
Matoleo mawili mfululuzo ya magazeeti ya Annur yameonyesha uzushi wa Mwakyembe hasa sakata la kutaka kuwawa huku yakimuonyesha Rostam kama mtu safi, na yote yalioelezwa na Mwakyembe kwenye Mwanahalasi ni uzushi mtupu.
yameeleza kwamba yote ya mwakyembe kusingizia watu hao ni uzushi na Ngojera isiyomaana.
SOMA GAZETI LA LEO ANUUR, UTAPATA UZUSHI WA MWAKYEMBE JUU YA ROSTAM
ulitegemea gazeti kama hilo liandike nini kuhusu mkristo?
lkn mbona mwakyembe hakanushi yanayaonikwa na annur?