Hapo Tunaliona Tatizo La Wazi Kwetu Watanzania, Kkkt Wameingia Tena Mtegoni.
Hawakuwa Na Sababu Ya Kufanya Hicho Kilichofanywa Na Ndg.mariki, Huo Ni Upotofu Mkubwa Ktk Imani.
Kanisani Ni Mahala Pa Wadhambi Na Si Vinginevyo.
Kanisa Lipo Kutuunganisha Na Mungu Na Si Kututenganisha Naye.
Rostam Anaweza Kuwa Ni Mdhambi Kama Tulivyo Sote Hapa , Je Ni Nini Hatima Yetu Mbele Ya Mungu Endapo Watumishi Wa Mungu Wataanza Kututenga Na Upendo Wake??
Mariki Anapaswa Awajibike Mbele Ya Mungu Na Waumini Wote.
Imeandikwa: Balozi Richard Mariki, Katibu Mkuu, KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani... Si Katibu Mkuu wa KKKT Taifa.... Habari zinasema kwamba, Mchungaji na kwaya yake wamesimamishwa kwa muda, wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu nyendo zao. Nadhani Rostam anaweza kuanzisha kanisa na unaweza kusikia mgogoro kama ule wa Meru ama wa Pare

Akianzisha kanisa basi maneno ya Paparazi Muwazi kuhusu nia yake ya kutengeneza mgawanyiko yatatimia. Kwanini watu wasimponde kwa mawe akipita barabarani mwizi huyu ambaye utawala wa sheria umeshindwa kumchukulia hatua? When justice fails mob justice has to prevail! CHADEMA wako wapi na falsafa ya nguvu ya umma? Kuna anayepajua nyumbani kwa Rostam? Niliwaomba siku nyingi mniambie nimtembelee jamani
Asha
Wacha wasimamishwe kwanza na pia hizo cd ziangaliwe zilikuwa na ujumbe gani!
Na wakifungua kanisa lao watachomwa moto!
Akianzisha kanisa basi maneno ya Paparazi Muwazi kuhusu nia yake ya kutengeneza mgawanyiko yatatimia. Kwanini watu wasimponde kwa mawe akipita barabarani mwizi huyu ambaye utawala wa sheria umeshindwa kumchukulia hatua? When justice fails mob justice has to prevail! CHADEMA wako wapi na falsafa ya nguvu ya umma? Kuna anayepajua nyumbani kwa Rostam? Niliwaomba siku nyingi mniambie nimtembelee jamani
Asha
Sasa Jamani Huyo Mchungaji Anachukuliwa Hatua Gani? Kumualika Mi Sioni Tatizo Tatizo Ni Yale Aliyoyazungumza Pale Badala Ya Kushiriki Uzinduzi Wa Kanda Akazungumza Mengine Yasiyo Na Utukufu Wa Bwana Rostam Hapaswi Kuishi Tanzania Arudi Kwao Iran Ni Mesikitishwa Sana Na Aliyosema, Nimedhalilishwa Sana Na Nimesononeshwa Sana Huu Ni Mtihani Kwa Askofu Malasusa, Na Hiki Huyu Balozi Mariki Alichokisema Naona Amezidi Kumix Mambo Hili Ni Suala La Press Conference Na Linahitaji Myu Makini Kulipangua Na Sio Balozi Wa Nyumba Kumimhhh!! Hapo Ni Kama Wememhukumu Mtu Wakati Sio Kazi Ya Kanisa Kufanya Hivyo. Unless Kama Hawakutamka Hivyo, Otherwise Hilo Tamko Lina Walaakini.
Ni kweli mkuu,madhara yake yameonekana nadhani ndo maana ya kikao cha KKKT.Nilitabiri wakati wa thread ya RA kutoa mchango kanisani kuwa huyu jamaa anaweza kuwa msaada wa kujenga chuki ndani ya jamii. Na sasa tunaona. RA anapendwa na mafisadi wenzake, haya mambo ya kusema fulani ndiye alimwalika yatakuwa na madhara si kanisani tu hata huko kwingineko unless kaenda kwa mafisadi wenzake. Sasa chuki imeanza, wa kujitetea atatumia nafasi hiyo kujiondoa. Mbaya atatafutwa ambaye alimualika na wakati pesa wamechukuwa. Kama mnachukia UFISADI, RUDISHENI HIZO PESA KWAKE AU TOENI KWA WATOTO YATIMA.Mkitumia hizo pesa kwa kazi ya kanisani kweli mnaweza kukosesha watu baraka kutoka kwa MUNGU. Huo ndio ukweli.
Hapo Tunaliona Tatizo La Wazi Kwetu Watanzania, Kkkt Wameingia Tena Mtegoni.
Hawakuwa Na Sababu Ya Kufanya Hicho Kilichofanywa Na Ndg.mariki, Huo Ni Upotofu Mkubwa Ktk Imani.
Kanisani Ni Mahala Pa Wadhambi Na Si Vinginevyo.
Kanisa Lipo Kutuunganisha Na Mungu Na Si Kututenganisha Naye.
Rostam Anaweza Kuwa Ni Mdhambi Kama Tulivyo Sote Hapa , Je Ni Nini Hatima Yetu Mbele Ya Mungu Endapo Watumishi Wa Mungu Wataanza Kututenga Na Upendo Wake??
Mariki Anapaswa Awajibike Mbele Ya Mungu Na Waumini Wote.
Sasa Jamani Huyo Mchungaji Anachukuliwa Hatua Gani? Kumualika Mi Sioni Tatizo Tatizo Ni Yale Aliyoyazungumza Pale Badala Ya Kushiriki Uzinduzi Wa Kanda Akazungumza Mengine Yasiyo Na Utukufu Wa Bwana Rostam Hapaswi Kuishi Tanzania Arudi Kwao Iran Ni Mesikitishwa Sana Na Aliyosema, Nimedhalilishwa Sana Na Nimesononeshwa Sana Huu Ni Mtihani Kwa Askofu Malasusa, Na Hiki Huyu Balozi Mariki Alichokisema Naona Amezidi Kumix Mambo Hili Ni Suala La Press Conference Na Linahitaji Myu Makini Kulipangua Na Sio Balozi Wa Nyumba Kumi