Sir, Pundit.
Tatizo sio sadaka mkuu ni pale unapotoa sadaka kwa mategemeo nje ya sadaka hiyo!.. Yesu aliwapokea watu waliokuwa mafisadi lakini baada ya kuwaona wanatafuta mwanga!... Yesu asingeweza kupokea fedha za tajiri ambaye anataka Yesu abadilsihe mwelekeo wa mafundisho yake! ati ajaribu kuwaunganisha wasioamini na wanaoamini wawe kitu kanisa moja..
Tena basi anayezungumza ndiye Pilato mwandamizi wa kuvunja imani inayofunsdinshwa!
Muulizeni mtikila anajua tamu ya pesa za mafisadi!
Sasa kama mtu hata kutoa sadaka hawezi tunafika mbali, tunajuaje kama Rostam anajisikia guilt na anatafuta uzima wa milele?
yMkuu the dataz ni kwamba Mtikila naye alikuwepo kwenye huu mkutano kama mmoja wa viongozi wa dini pia.
Kitendo cha kwenda kutoa sadaka kwenye kanisa la Spika, ni matusi mazito kwetu wananchi na taifa kwa ujumla, the ishu hapa sio Rostam kutoa sadaka kanisani, hapana hiyo ni haki yake kama mwananchi na bin-adam,
Tatizo hapa ni Rostam fisadi, kwenda kutoa sadaka kanisa ambalo spika wetu ni mzee wa kanisa lile, that is the ishu hapa kwa sababu huyu Rostam anatutukana wananchi na taifa zima na huu mchezo wake ambao sasa anaucheza mchana, akishirikiana na Lowassa,
wamenunua Ze-Comedy ili kuiondoa makali, sasa tena wanataka kununua na makanisa tena mchana kweupee namna hii? Hapana sasa wamefika mbali sana!
Mkuu the dataz ni kwamba Mtikila naye alikuwepo kwenye huu mkutano kama mmoja wa viongozi wa dini pia.
Kitendo cha kwenda kutoa sadaka kwenye kanisa la Spika, ni matusi mazito kwetu wananchi na taifa kwa ujumla, the ishu hapa sio Rostam kutoa sadaka kanisani, hapana hiyo ni haki yake kama mwananchi na bin-adam,
Tatizo hapa ni Rostam fisadi, kwenda kutoa sadaka kanisa ambalo spika wetu ni mzee wa kanisa lile, that is the ishu hapa kwa sababu huyu Rostam anatutukana wananchi na taifa zima na huu mchezo wake ambao sasa anaucheza mchana, akishirikiana na Lowassa,
wamenunua Ze-Comedy ili kuiondoa makali, sasa tena wanataka kununua na makanisa tena mchana kweupee namna hii? Hapana sasa wamefika mbali sana!
Magazeti ya kesho yatatuhabarisha zaidi kuhusu huu mkutano wa leo, lakini inasikitisha sana kwamba sasa hawa viongozi wawili Rostam na Lowassa, wamekuwa tu sio mzigo kwetu wananchi na taifa, bali sasa wanageuka kuwa Cancer, wakati umefika as a nation tuanze kujiuliza swali moja gumu nalo ni what to do na hawa watu wawili?
I mean the dataz ni kwamba wameenda kule kanisani kwa Spika, bila ridhaa yake, kwa hiyo ina maana Six naye anaweza kuwa behind huu mkutano wa leo, juzi wabunge wameachiwa kwa sababu ya hilo nalo lilipikwa na huyu huyu mamvi, jambazi la kutupwa Nyari, liliachiwa pia kwa mkono wa huyu huyu Lowassa, kikao cha NEC vurugu kisa huyu huyu mkulu, sasa hili taifa tunaenda wapi na huyu Lowassa?
Something lazima kifanyike and I do not know what it is, lakini haiwezekani hawa watu wawili tu wakatuchezea taifa kiasi hiki, kwenda kutoa hela kanisani sio tatizo, lakini tatizo hapa ni WHY? kanisa la Spika? Kwa nini wasingeenda kwenye makanisa mengine kwa nini kanisa la Spika?
Kitendo cha kwenda kutoa sadaka kwenye kanisa la Spika, ni matusi mazito kwetu wananchi na taifa kwa ujumla, the ishu hapa sio Rostam kutoa sadaka kanisani, hapana hiyo ni haki yake kama mwananchi na bin-adam,
Tatizo hapa ni Rostam fisadi, kwenda kutoa sadaka kanisa ambalo spika wetu ni mzee wa kanisa lile, that is the ishu hapa kwa sababu huyu Rostam anatutukana wananchi na taifa zima na huu mchezo wake ambao sasa anaucheza mchana, akishirikiana na Lowassa,
Nafikir biblia iko clear kwamba ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbinguni. ukiangalia hapa, ni kuwa mtu anayezungumziwa ni ambaye aidha amepata utajiri wake kwa njia ya dhuluma au isiyo halali. Pia Mungu hawezi kuhongwa kwa kitu chochote, kama mtu anafikiria basi kwa kutoa pesa au michango mikubwa kanisani basi anaweza akawa anatengeneza mambo yake yawe ok na Mungu basi anajidanganya. Ukweli ni kwamba we are all saved by the Grace and not by what we do!!
1. Rostam kwenda kanisa la Spika kutoa hela kwa kwaya ya kanisa hilo, hiyo ni politics tena chafu sana, ni lazima ikemewe kwa nguvu zote na jamii.
2. Rostam kutoa hela kwa kwaya ya kanisa, now this is God's call kwa sababu hata shetani ana-operate kwa kuruhusiwa na Mungu tu, na shetani hawezi gusa sehemu yoyote bila ya kuruhusiwa na Mungu, lets say Rostam ni agent wa shetani then kuna mawili hapa either ametumwa na shetani kuisadia kwaya ambayo inaweza kuwa inaonekana kuwa ni ya Mungu lakini ni ya shetani, au Mungu ameamua kumtumia shetani kuisadia kwaya yake, kama kweli ni yake,
Tukumbuke kuwa shetani hawezi kutuuibia wananchi bila ya kuruhusiwa na Mungu, na haya hutokea taifa linapokuwa limemuasi Mungu, hapo anaweza kuruhusu kina Rostam kuliibia taifa, na pia kumsukuma apeleke hela zile kanisani, yule bwana aliyemsaidia mwana wa Mungu wakati alipokuwa amekufa, aliyetoa hela za sanda na the rest of mazishi alikuwa ni fisadi aliyetumiwa na Mungu, sasa we should not get excited mpaka kushindwa kuuona ukweli ambao sisi JF tunahitaji ku-deal nao hasa to the next level nao ni kwa nini Rostam amekwenda kutoa hela kanisa la Spika?
Halafu huyu majuzi nilisema kuwa alikwenda kwa mmoja wa wabunge wa kundi la Mwakyembe in private na kujaribu kumlaghai kwa maneno mengi kuwa yuko innocent na Richimonduli, sasa sisi tulisema siku nyingi kuwa hawa mafisadi wameshikwa pabaya, tena sana na hizi ni dalili za wazi kabisa kuwa it is working na tunahitaji kuendelea kusukuma the envelope na mafisadi mpaka kieleweke!
A Luta Continua!
wamenunua Ze-Comedy ili kuiondoa makali, sasa tena wanataka kununua na makanisa tena mchana kweupee namna hii? Hapana sasa wamefika mbali sana!
Mkuu ES,
Naomba nikuulize kaswli kadogo tu. Assume wewe ni mwalimu na upo darasani unawafundisha wanafunzi namna ya kusolve swali moja la hesabu, then anatokea mmojawapo wa wanafunzi anasimama na kusema mwalimu unavyofanya sio sahihi? Je utampa nafasi huyo mwanafunzi aonyeshe njia yake ilivyosahihi au utamfukuza darasani?
Nyangumi,
What is the point? Can you expand for others to relate to your example?