Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,305
Niliwahi kumuuliza Mh Zitto swali hili kwenye thread mojawapo humu. Hakunijibu. Likaibukia Bungeni. Dr Kitila analijua vizuri hili la viti maalum CHADEMA. Atatueleza tu.
Kumbe mkuu ulikuwa ukiongea kwa authority mambo usiyo yajua?!
Au ndo ule msemo wa Kiswahili wa kuchamba kwingi...............