Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,986
- 30,180
G hata Shibuda ni mbunge wa CHADEMA, si unaona vituko vyake dhidi ya CHADEMA na kuifagilia magamba kwa sana? Wengine huweza kununuliwa kirahisi sana ili kuchafua hali ya hewa chamani.
Madai ya huyu mama kuna yenye msingi, Na kuna ya kipumbavu.
Kudai hela ya/na matunzo ya mtoto ni dai la msingi kabisa, ila kulazimisha Mahakama itamke kua yeye ndie mke halali na harusi ya Josephine ni batili ni upuuzi. Je kama hana mvuto na hapendwi atalazimishaje ndoa??
Ukiangalia kwa undani, kuna uwezekano Mkubwa wa Dr. Slaa kua rais wetu wa 5, so kilichopo ni mbio za u-first lady.