REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 956
Sawa kabisa Nivea,hawaoni tatizo la jamaa kuwa na wake wa kiarabu,kihindi ndugu wa RA,na watoto wa njetoa kibanzi kwenye jicho lako mwenyekiti wako ana wake wangapi ?n last week kaoa mtoto wa kiarabu na matatizo yote haya nchini huoni akili yake inawaza ngono tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na wake wote alionao uko sawa kweli wewe mwachieni MUNGU ahukumu mwenyewe msitetee zambi mnajidhalilisha ,na kesi ikiwa mahakanani huitaji kujadili na mapovu tele.tuelimike .hata kwenye BIBLIA TAKATIFU IMEANDIKWA YESU ALIWAMBIA WALE WATU KAMA KUNA AMBAYE NI MTAKATIFU ACHUKUE MAWE AMPIGE MWANAMKE KAHABA WOTE WAKAONDOKA POLE POLE ,TUNAISHI KWA NEEMA YA MUNGU PEKEE HATUPASWI KUHUKUMU BADO MAHAKAMA YA KADHI HAIJARUHUSIWA.
ya ndoa kibao,hilo hawalioni.