Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

Nilienda hapo mwezi wa kumi na moja mwishoni,aisee nilisikia kutapika.Maana tuliagiza mchemsho wa n'gombe.Ulivyoletwa Sasa,ndizi zenyewe zilikua zimeanza kuiva ,nyama imekaa sijui ni kwenye friji mpaka ikawa inatoa harufu flani hivi ya kuanza kuharibika.Viungo vingine vilivyotumika kama karoti n.k navyo vilikuwa vimejichokea mbaya kabisa.Kiukweli tulimuita muhudumu tukamwambia jkweli kisha tukatumia tu ustaarabu tukalipa tukaondoka.Kwa upande wa vinywaji navyo bei ipo juu ,lakini mazingira kwa kweli hayashawishi.Mfano Konyagi ndogo wanauza sh elfu sita.Kwa lipi hasa???Vile viti na meza zilizojichokea au ile miti ya miarubaini?????Mpaka leo sijawapatia majibu kabisa.Management ya Rose Garden Kama mpo humu jirekebisheni aisee.Maana jina ni kubwa kuliko huduma mnazotoa.Boresheni mazingira,viti na meza,pia.
 
Konyagi ndogo elfu 6?babake
 
Angalia ulivyo na mawazo ya kiujima! Yaani kuikosoa serikali ni kupenda kuona mambo yanavurugika?! It's very unfortunately JF wali-delete akaunti yangu hapo nyuma, lakini wakati tunajadili mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, sie ambao mnadhani ni maadui zenu hivi ndivyo tulisema:-
Kila mmoja anafahamu what's going on linapokuja suala la mradi wa Bomba la Mafuta!

Lakini akina nyie na uzalendo wenu fake mkabaki kupiga shangwe na vigelegele bila kuangalia haya mambo kwa mapana yake!!!

But what if tungekuwa tunaruhusu mawazo mbadala yatamalaki badala ya kuona kila mwenye mawazo mbadala haitakii mema nchi!!

Halafu haya mawazo yenu sijui mtaachana nayo lini ya kudhani kila anayeikosoa serikali basi anaichukia serikali!!! Na msichotaka kufahamu ni kwamba, sie wengine hata hao upinzani wakiharibu, TUNAWAKOSOA TU kama ambavyo tuliwapiga vitofa kwa kumpa Lowassa nafasi ya kugombea urais wakati kwa miaka nenda rudi walikuwa wanaimba ni fisadi!!

Sasa endeleeni na siasa zenu za kuona walio serikalini ni Malaika wasiofanya makosa na kwahiyo kila watendalo linapaswa kupigiwa vigelegele hata kama ni la kijinga!!!
Naam

Sina shaka hakurudi tena huyo jamaa

Maana sasa angerudi kusema nini tena?

But kama alirudi, basi ni mbishi tu tena ambaye yupo very much talented
 
Hii Bar ipo Mikocheni B, (sina uhakika sana kwa sababu sina uenyeji na jiji la Dar)

Mara ya kwanza kufika kwenye hiyo bar nilipelekwa na girlfriend wangu siku ya pili baada ya kuwasili kutoka Australia.

Kipindi hicho ilikuwa mida ya jioni na mwenyeji wangu alinionya kuwa mwangalifu sana na kauli siku nikienda hapo peke yangu, nilipomuuliza, niwe mwangalifu kwa kauli zipi? Akanijibu, nisijaribu kuwa na kauli za kuisema vibaya serikali, kwa maana ya kuikosoa,kwa sababu imeshatokea watu kudakwa hapo bar, yaani unatoka kwenda chooni huko huko hurudi tena, wanakuona nyumbani baada ya siku 5 ukiwa umepigika hasa.

Enzi zile ilikuwa ni awamu ya nne,nimekaa nikajiuliza Kama awamu ya nne ilikuwa hivyo, je? Hali ikoje kwa awamu hii ya tano?
Ukienda umeenda jumla, hakuna kurudi.

RIP Ben Saanane
RIP Kanguye
RIP Azori Gwanda
RIP my best friend Eric, ulipotelea Rose Garden baada ya kuanza kukosoa serikali.

Duh.....!
 
Konyagi ndogo elfu 6?babake
Mbaya zaidi tukaomba risiti.Risiti ikaja imeandikwa kinywaji kimoja na total ya vinywaji vyote tulivyokunywa.Yaani ndio kusema hicho kinywaji kimoja ndio kikawa kimepewa total bili yetu.Kilichoniacha hoi hawakukiidentify kwa jina.Ndio kusema walikwepa kodi,kwa kutuuzia kwa bei ya juu huku wakishindwa kutupa risiti sahihi.Sema ndio hivyo hatukutaka ligi,tukajisepea tu!
 
Poleni sana mwalimu
 
Back
Top Bottom