Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,125
- 20,218
Haya mbeeAsante sana mkuu🙏🙏🙏
Haya mbeeAsante sana mkuu🙏🙏🙏
KwaniniSijui kwa kweli. Nimekua mzito sana wa starehe siku hizi
Ratiba tu zimekua ngumu.Kwanini
Au uzee nao unagonga hodiRatiba tu zimekua ngumu.
Ubibi sio uzee..Au uzee nao unagonga hodi
Ndo hivyoUbibi sio uzee..
Na wewe ulikuwa unaenda rose garden ? Pakoje pakoje aiseeNdo hivyo
Nilishakataa kuzeeka mimi.Au uzee nao unagonga hodi
HahahahaaaUbibi sio uzee..
Duh noma.. na kuishi kwangu kote mguu wangu haujawai kanyaga hapo RG.. basi kulikuwa na kiwanda cha pesa hapoSema RG bwana.
Enzi hizo unaenda na buku 10 unarudi na laki 2 umeshiba na kulewa.
Wale wazee waishi tu kwa kweli
Wale watu wana hela halafu hawaogopi kutumia.Duh noma.. na kuishi kwangu kote mguu wangu haujawai kanyaga hapo RG.. basi kulikuwa na kiwanda cha pesa hapo
Sasa hivi wanaendeleaje 😀😀😀Wale watu wana hela halafu hawaogopi kutumia.
Kwanza wakiona mwanamke mpya wanashindana kumpa hela. Ndo unaondoka umejaa zako.
Hawafulii wale.Sasa hivi wanaendeleaje [emoji3][emoji3][emoji3]
Wapo huku kitaani hoi kama paka 😃😃Hawafulii wale.
Mwalimu Nyerere [emoji16] ukiwafanya mazoezi na Navyje, ni chuo gan majajusi wanapenda kusoma ?
Wap hukoSema RG bwana.
Enzi hizo unaenda na buku 10 unarudi na laki 2 umeshiba na kulewa.
Wale wazee waishi tu kwa kweli
Mwalimu Nyerere walimu kibao na mostly wana ufaulu mdogo sana. Nikipita pale hata mademu zao ndio mademu rahisi tunaowakimbilia kutoka vyuo vingine. CBE ina watu wengi amabo sijui ni wafanyabiashara binafsi au kuna behind the scene.Mwalimu Nyerere [emoji16] ukiwafanya mazoezi na Navy
Hapana sijawahi fika hapo,Na wewe ulikuwa unaenda rose garden ? Pakoje pakoje aisee