Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

Wote hao walipotelea hapo Rose garden?
Ben inasemakana siku ya mwisho kuonekana ni shamba la miwa la bavicha siuji morogoro!

Si kweli kwamba wote wameondokea Rose garden. Kila mmoja alipotelea mazingira tofauti.

Hapa tunadanganywa tu. Mnajua mlikompeleka beni na azori. Kwani kule ulaya alikotumwa kuichafua serikali alirudi? Alirudi? Alilipwa ile 800m? Matokeo yalikuwaje? Yule mchumbake aliulizwa? Alisikitika kupotelewa na mtu wake? Kama hakusikitika ni kwa nini. Yuko wapi kwa sasa yule dada.
 
Basi mbowe afungwe tu
 
Ukijiita Magna Carta halafu unataka kuwapangia watu nini cha kuzungumza katika sehemu za starehe unakuwa huna tofauti na Muislamu anayekula Nguruwe.
Si vema kumpangia mtu cha kuzungumza, ila kila mahali na mazungumzo yake
 
Back
Top Bottom