Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

Alafu anatupa mifano ya Australia kwa kuwa yeye kaenda juzi juzi, hajui imejengwa vipi mpaka kaikuta hapo ilipo, huyu mtoa uzi amajaza taarifa za Wikipedia kichwani mwake kutoka kwa operation za Mossad, anachofanya nikuja humu na kutunga hekaya zisizo na uhalisia
Naona Unazidi kuonyesha umbumbumbu wako humu, Australia ilijengwa kwa kuteka watu na kuua wapinzani?
Rose Garden ipo kwenye Wikipedia?
Zero brain kabisa wewe
 
Nani kakudanganya hivyo? Siasa ziko hivyo ever since. What I don't understand, we become very subjective If we don't get what we expect.
Tunasahau hii ni nchi yetu. Kuna watu wengi wanapenda kuona mambo yanaharibika. Wataharibikiwa wenyewe. Time will tell
Hakuna atakayeharibikiwa zaidi ya wapumbavu wachache wanaodhani Tanzania ni yao peke yao, pingu zinawahusu baada ya 2020.
 
Hii Bar ipo Mikocheni B, (sina uhakika sana kwa sababu sina uenyeji na jiji la Dar)
Mara ya kwanza kufika kwenye hiyo bar nilipelekwa na girlfriend wangu siku ya pili baada ya kuwasili kutoka Australia.

Kipindi hicho ilikuwa mida ya jioni na mwenyeji wangu alinionya kuwa mwangalifu sana na kauli siku nikienda hapo peke yangu, nilipomuuliza, niwe mwangalifu kwa kauli zipi ?akanijibu, nisijaribu kuwa na kauli za kuisema vibaya serikali, kwa maana ya kuikosoa,kwa sababu imeshatokea watu kudakwa hapo bar, yaani unatoka kwenda chooni huko huko hurudi tena, wanakuona nyumbani baada ya siku 5 ukiwa umepigika hasa.

Enzi zile ilikuwa ni awamu ya nne,nimekaa nikajiuliza Kama awamu ya nne ilikuwa hivyo, je? Hali ikoje kwa awamu hii ya tano?
Ukienda umeenda jumla, hakuna kurudi.

RIP Ben Saanane
RIP Kanguye
RIP Azori Gwanda
RIP my best friend Eric, ulipotelea Rose Garden baada ya kuanza kukosoa serikali.
Hahaha people have guts aisee especially diaspora.. Hivi unakuwaje na akili nzuri kwenda kuisemea serikali ya Taifa lako mwenyewe tena public space kama BAR. Poleni sana kwa mnaojiona vinara wa mageuzi kwenye maeneo ya starehe. I'm not supporting death attacks to any fellow citizen, ila ukifanya ukora jua fika you have signed devil's contract. Peace & Love
 
Haroo wewe rijamaa, unaambiwa ribaa ni hatarishi harafu wewe unakaa hapo, wanaweza kukunanihii harafu na shemeji wakamnanihino usirudie mabaa yako mengi
 
Kazi ipo. For some reasons, we get what we deserve. Think about it. What we have our perfect match
Dah! Mjadala tumeuanza kwa Kiswahili, mara hii umeingia kwa Kizungu?! Mi hiyo lugha inanipiga chenga bhana... huenda nikakujibu baadae namsubiri dogo aje anitafsirie, manake Google wameniambia eti:-

Google.png


Nimetoka kapa kwa kweli!!
 
Ni Eric tu, walianza kumfuatilia Rose Garden, kufika nyumbani wakamzoa hadi leo mwaka wa pili..., hakuonekana Gereza lolote, wala kituo chochote cha police ,wala mochwari zote, Eric alipotezwa Kama Ben Saanane
Wapo ...

Watarudi kimya kimya...

Kwa msaada wa vyombo vyetu vya ulinzi!
 
Sehemu ya starehe, halafu unaendekeza siasa shenzi kabisa wewe jamaa.
 
Hii Bar ipo Mikocheni B, (sina uhakika sana kwa sababu sina uenyeji na jiji la Dar)

Mara ya kwanza kufika kwenye hiyo bar nilipelekwa na girlfriend wangu siku ya pili baada ya kuwasili kutoka Australia.

Kipindi hicho ilikuwa mida ya jioni na mwenyeji wangu alinionya kuwa mwangalifu sana na kauli siku nikienda hapo peke yangu, nilipomuuliza, niwe mwangalifu kwa kauli zipi? Akanijibu, nisijaribu kuwa na kauli za kuisema vibaya serikali, kwa maana ya kuikosoa,kwa sababu imeshatokea watu kudakwa hapo bar, yaani unatoka kwenda chooni huko huko hurudi tena, wanakuona nyumbani baada ya siku 5 ukiwa umepigika hasa.

Enzi zile ilikuwa ni awamu ya nne,nimekaa nikajiuliza Kama awamu ya nne ilikuwa hivyo, je? Hali ikoje kwa awamu hii ya tano?
Ukienda umeenda jumla, hakuna kurudi.

RIP Ben Saanane
RIP Kanguye
RIP Azori Gwanda
RIP my best friend Eric, ulipotelea Rose Garden baada ya kuanza kukosoa serikali.

kwani na wakina ben saanane wadakwa rose garden
 
Back
Top Bottom