Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

Hahaha people have guts aisee especially diaspora.. Hivi unakuwaje na akili nzuri kwenda kuisemea serikali ya Taifa lako mwenyewe tena public space kama BAR. Poleni sana kwa mnaojiona vinara wa mageuzi kwenye maeneo ya starehe. I'm not supporting death attacks to any fellow citizen, ila ukifanya ukora jua fika you have signed devil's contract. Peace & Love
Jinga kweli wewe
 
Pole sana, una miaka mingine 6 ya chuki dhidi ya Magufuli...
I'm not in Tanzania, pambaneni na hali zenu punda weusi nyie, anayeteseka ni Bibi yako na ndugu zako, their futures are loomed up into darkness.
Na wewe unalipwa kiduchu kushabikia ujinga, Prof James Watson ever said, Africans are the most imbeciles mankind of all in the world .
Kwa hiyo sikushangai, punda ni punda tu.
 
Nyuma ya keyboard kila mtu anajiona ni baunsa...
Kuna watu wako mbele ya Keyboard Kama Mange kimambi na hamna lolote la kumfanya, mkijaribu tu, hiyo itakuwa ni uchokozi dhidi ya US, kitakachofuata nadhani unajua vyema.
Kwa hiyo hilo lisikupe tabu kijana, Tunaposema tupo salama, ujue tupo salama kweli kweli.
 
Khaaa. Kumbe usalama unaozungumzia ni wa kulindwa na mtu mweupe..... Ukiwa hapa TZ utajificha chini ya uvunguni sio maana rosegarden inekutoa kamasi...
 
  • Thanks
Reactions: 30P
I'm not in Tanzania, pambaneni na hali zenu punda weusi nyie, anayeteseka ni Bibi yako na ndugu zako, their futures are loomed up into darkness.
Na wewe unalipwa kiduchu kushabikia ujinga, Prof James Watson ever said, Africans are the most imbeciles mankind of all in the world .
Kwa hiyo sikushangai, punda ni punda tu.
Kufika nje ya nchi unaona watu waliopo Tz punda! Kazi ipo
 
Kuna watu wako mbele ya Keyboard Kama Mange kimambi na hamna lolote la kumfanya, mkijaribu tu, hiyo itakuwa ni uchokozi dhidi ya US, kitakachofuata nadhani unajua vyema.
Kwa hiyo hilo lisikupe tabu kijana, Tunaposema tupo salama, ujue tupo salama kweli kweli.
Kabendera kesi yake itaendelea lini maana mmemsahau mwenzenu.
 
Duh hio bar sio kabisa..
Maana bia ya kwanza na pili watu tunaanza kuongea story za kawaida tu

Bia ya tatu na nne lugha inabadilika kidogo kingereza kinachanganywa.

Bia ya tano na sita tunaanza kuongelea siasa nyepesi za jimboni na mikoani.

Bia ya saba na nane tunaanza kuongea siasa konki za kitaifa na uchambuzi wa kiintelijensia (hapa kila mtu anakuwa agent wa kitengo)

Bia ya tisa na kumi ni kuongea siaza za kimataifa...hapa wakina carl max wanachambuliwa kama tunachambua kikosi cha simba na yanga..

Bia ya kumi na moja tunainywa njiani wakati wa kurudi hom.
Dah! we acha kabisa hamna siasa tamu kama za bar na bia huwa tunakuwa wachambuzi na wabobezi
 
Hii Bar ipo Mikocheni B, (sina uhakika sana kwa sababu sina uenyeji na jiji la Dar)

Mara ya kwanza kufika kwenye hiyo bar nilipelekwa na girlfriend wangu siku ya pili baada ya kuwasili kutoka Australia.

Kipindi hicho ilikuwa mida ya jioni na mwenyeji wangu alinionya kuwa mwangalifu sana na kauli siku nikienda hapo peke yangu, nilipomuuliza, niwe mwangalifu kwa kauli zipi? Akanijibu, nisijaribu kuwa na kauli za kuisema vibaya serikali, kwa maana ya kuikosoa,kwa sababu imeshatokea watu kudakwa hapo bar, yaani unatoka kwenda chooni huko huko hurudi tena, wanakuona nyumbani baada ya siku 5 ukiwa umepigika hasa.

Enzi zile ilikuwa ni awamu ya nne,nimekaa nikajiuliza Kama awamu ya nne ilikuwa hivyo, je? Hali ikoje kwa awamu hii ya tano?
Ukienda umeenda jumla, hakuna kurudi.

RIP Ben Saanane
RIP Kanguye
RIP Azori Gwanda
RIP my best friend Eric, ulipotelea Rose Garden baada ya kuanza kukosoa serikali.
Vipi rose garrden ya kule dodoma⁉️
 
Back
Top Bottom