Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

Mikocheni B na Rose Garden ni vitu tofauti. Ile iko barabara ya kwenda kwa Nyerere. Iko Mikocheni A. Mikocheni B, ni kule iliko Clouds Fm.
 
Hii Bar ipo Mikocheni B, (sina uhakika sana kwa sababu sina uenyeji na jiji la Dar)
Mara ya kwanza kufika kwenye hiyo bar nilipelekwa na girlfriend wangu siku ya pili baada ya kuwasili kutoka Australia.
Kipindi hicho ilikuwa mida ya jioni na mwenyeji wangu alinionya kuwa mwangalifu sana na kauli siku nikienda hapo peke yangu, nilipomuuliza, niwe mwangalifu kwa kauli zipi ?akanijibu, nisijaribu kuwa na kauli za kuisema vibaya serikali, kwa maana ya kuikosoa,kwa sababu imeshatokea watu kudakwa hapo bar, yaani unatoka kwenda chooni huko huko hurudi tena, wanakuona nyumbani baada ya siku 5 ukiwa umepigika hasa.
Enzi zile ilikuwa ni awamu ya nne,nimekaa nikajiuliza Kama awamu ya nne ilikuwa hivyo, je? Hali ikoje kwa awamu hii ya tano?
Ukienda umeenda jumla, hakuna kurudi.
RIP Ben Saanane
RIP Kanguye
RIP Azori Gwanda
RIP my best friend Eric, ulipotelea Rose Garden baada ya kuanza kukosoa serikali.
Huyo 'girlfriend' naye vipi 'My son'! Bado unaye kweli?
 
Kumbe upo nje ya nchi, pole sana chuki zako dhidi ya idara hazitasaidia chochote, alafu mkiwa mnaenda sehemu za starehe huwa mnaenda kujadili siasa?
Umesoma vizuri alienda wakati gani ?
Ulikuwa unamaanisha kujadili siasa? kwani Serikali ni siasa?
 
Hii Bar ipo Mikocheni B, (sina uhakika sana kwa sababu sina uenyeji na jiji la Dar)
Mara ya kwanza kufika kwenye hiyo bar nilipelekwa na girlfriend wangu siku ya pili baada ya kuwasili kutoka Australia.
Kipindi hicho ilikuwa mida ya jioni na mwenyeji wangu alinionya kuwa mwangalifu sana na kauli siku nikienda hapo peke yangu, nilipomuuliza, niwe mwangalifu kwa kauli zipi ?akanijibu, nisijaribu kuwa na kauli za kuisema vibaya serikali, kwa maana ya kuikosoa,kwa sababu imeshatokea watu kudakwa hapo bar, yaani unatoka kwenda chooni huko huko hurudi tena, wanakuona nyumbani baada ya siku 5 ukiwa umepigika hasa.
Enzi zile ilikuwa ni awamu ya nne,nimekaa nikajiuliza Kama awamu ya nne ilikuwa hivyo, je? Hali ikoje kwa awamu hii ya tano?
Ukienda umeenda jumla, hakuna kurudi.
RIP Ben Saanane
RIP Kanguye
RIP Azori Gwanda
RIP my best friend Eric, ulipotelea Rose Garden baada ya kuanza kukosoa serikali.
Wote hao walipotelea hapo Rose garden?
 
Kumbe upo nje ya nchi, pole sana chuki zako dhidi ya idara hazitasaidia chochote, alafu mkiwa mnaenda sehemu za starehe huwa mnaenda kujadili siasa?
Nyie watu ni dhaifu sana sijawahi kuona, una hakika kabisa kuwa nina chuki na idara? Idara dhaifu hii niichukie so what? Idara iliyojikita kuhujumu upinzani badala ya kuhujumu mataifa yenye nguvu ili tupae kiuchumi, eti idara inawaua kina Ben Saanane sisimizi kabisa .
Pathetic...
 
Wote hao walipotelea hapo Rose garden?
Ni Eric tu, walianza kumfuatilia Rose Garden, kufika nyumbani wakamzoa hadi leo mwaka wa pili..., hakuonekana Gereza lolote, wala kituo chochote cha police ,wala mochwari zote, Eric alipotezwa Kama Ben Saanane
 
Back
Top Bottom