Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

Mtu iache kufanya kilichokupeleka ukapige soga za kuponda serikali si ulimbukeni huo
WE nawe sema ni mtu wa nyumbani tu! Unashangaa watu kujadili siasa bar?! Au unadhani bar ni kama restaurant, watu wanaenda kupata mlo na kuondoka??!! Au labda ukumbushwe hata mchongo wa kumpindua Mwalimu ulibumburuka bar!!
 
Halafu kuna watu wanajidanganya kupambana na serikali. Pote duniani hakuna anayeishinda serikali.
Muulizeni yule mzungu wa ndege wa SA.
Na wewe tuondolee ushamba wako hapa!! Hakuna serikali hata moja duniani iliyowahi kudumu madarakani muda wote kwa kutegemea ubabe!!

Wananchi wakishasema enough is enough, serikali na madege yake yote ya kivita, na vifaru vyake vyote, na askari wake wote, na kila ilichonacho itasanda tu!!
 
Alafu anatupa mifano ya Australia kwa kuwa yeye kaenda juzi juzi, hajui imejengwa vipi mpaka kaikuta hapo ilipo, huyu mtoa uzi amajaza taarifa za Wikipedia kichwani mwake kutoka kwa operation za Mossad, anachofanya nikuja humu na kutunga hekaya zisizo na uhalisia
 
WE nawe sema ni mtu wa nyumbani tu! Unashangaa watu kujadili siasa bar?! Au unadhani bar ni kama restaurant, watu wanaenda kupata mlo na kuondoka??!! Au labda ukumbushwe hata mchongo wa kumpindua Mwalimu ulibumburuka bar!!

Sibishani na wewe!
 
Na wewe tuondolee ushamba wako hapa!! Hakuna serikali hata moja duniani iliyowahi kudumu madarakani muda wote kwa kutegemea ubabe!!

Wananchi wakishasema enough is enough, serikali na madege yake yote ya kivita, na vifaru vyake vyote, na askari wake wote, na kila ilichonacho itasanda tu!!
Kwanza mshamba mwenyewe...pili kama inakuuma sana kajinyonge.
Tutaelewana tu. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii Bar ipo Mikocheni B, (sina uhakika sana kwa sababu sina uenyeji na jiji la Dar)
Mara ya kwanza kufika kwenye hiyo bar nilipelekwa na girlfriend wangu siku ya pili baada ya kuwasili kutoka Australia.

Kipindi hicho ilikuwa mida ya jioni na mwenyeji wangu alinionya kuwa mwangalifu sana na kauli siku nikienda hapo peke yangu, nilipomuuliza, niwe mwangalifu kwa kauli zipi ?akanijibu, nisijaribu kuwa na kauli za kuisema vibaya serikali, kwa maana ya kuikosoa,kwa sababu imeshatokea watu kudakwa hapo bar, yaani unatoka kwenda chooni huko huko hurudi tena, wanakuona nyumbani baada ya siku 5 ukiwa umepigika hasa.

Enzi zile ilikuwa ni awamu ya nne,nimekaa nikajiuliza Kama awamu ya nne ilikuwa hivyo, je? Hali ikoje kwa awamu hii ya tano?
Ukienda umeenda jumla, hakuna kurudi.

RIP Ben Saanane
RIP Kanguye
RIP Azori Gwanda
RIP my best friend Eric, ulipotelea Rose Garden baada ya kuanza kukosoa serikali.

Mnafiki Originale.
 
Kwanza mshamba mwenyewe...pili kama inakuuma sana kajinyonge.
Tutaelewana tu. 🤣🤣🤣🤣🤣
Dah, watu wenye kauli kama hizo hapo juu nashindwa hata kuwaelewa yaani!!!! Btw, iniume nini?! Au umeanza kufuatilia siasa kipindi cha Magu?!
 
Nani kakudanganya hivyo? Siasa ziko hivyo ever since. What I don't understand, we become very subjective If we don't get what we expect.
Tunasahau hii ni nchi yetu. Kuna watu wengi wanapenda kuona mambo yanaharibika. Wataharibikiwa wenyewe. Time will tell
 
Angalia ulivyo na mawazo ya kiujima! Yaani kuikosoa serikali ni kupenda kuona mambo yanavurugika?! It's very unfortunately JF wali-delete akaunti yangu hapo nyuma, lakini wakati tunajadili mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, sie ambao mnadhani ni maadui zenu hivi ndivyo tulisema:-
MsemajiUkweli,

Way Foward: Badala ya kulia lia kwamba Mu-7 anataka kutugombanisha, tutumie muda huu kumu-encourage JPM aendelee kukaza coz' Kenyatta hatatulia hadi cku bomba la kwanza linatandikwa ardhini!

Kwa mtu kama Kenyatta hataona taabu kwa issue za "give and take" coz hivyo ndivyo mambo yanavyoendeshwa. So, JPM na timu yake waki-relax kwa kudhani tayari Mu-7 keshakuwa wetu basi usishangae bomba likakunja kona to Mombasa.

Na hapo c kwamba tutakuwa tumekwepesha migogoro among EA Member States bali tutakuwa Tume - expose our highest level of stupidity in front of fellow member states.
Kila mmoja anafahamu what's going on linapokuja suala la mradi wa Bomba la Mafuta!

Lakini akina nyie na uzalendo wenu fake mkabaki kupiga shangwe na vigelegele bila kuangalia haya mambo kwa mapana yake!!!

But what if tungekuwa tunaruhusu mawazo mbadala yatamalaki badala ya kuona kila mwenye mawazo mbadala haitakii mema nchi!!

Halafu haya mawazo yenu sijui mtaachana nayo lini ya kudhani kila anayeikosoa serikali basi anaichukia serikali!!! Na msichotaka kufahamu ni kwamba, sie wengine hata hao upinzani wakiharibu, TUNAWAKOSOA TU kama ambavyo tuliwapiga vitofa kwa kumpa Lowassa nafasi ya kugombea urais wakati kwa miaka nenda rudi walikuwa wanaimba ni fisadi!!

Sasa endeleeni na siasa zenu za kuona walio serikalini ni Malaika wasiofanya makosa na kwahiyo kila watendalo linapaswa kupigiwa vigelegele hata kama ni la kijinga!!!
 
Angalia ulivyo na mawazo ya kiujima! Yaani kuikosoa serikali ni kupenda kuona mambo yanavurugika?! It's very unfortunately JF wali-delete akaunti yangu hapo nyuma, lakini wakati tunajadili mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, sie ambao mnadhani ni maadui zenu hivi ndivyo tulisema:-
Kila mmoja anafahamu what's going on linapokuja suala la mradi wa Bomba la Mafuta!

Lakini akina nyie na uzalendo wenu fake mkabaki kupiga shangwe na vigelegele bila kuangalia haya mambo kwa mapana yake!!!

Halafu haya mawazo yenu sijui mtaachana nayo lini ya kudhani kila anayeikosoa serikali basi anaichukia serikali!!! Na msichotaka kufahamu ni kwamba, sie wengine hata hao upinzani wakiharibu, TUNAWAKOSOA TU kama ambavyo tuliwapiga vitofa kwa kumpa Lowassa nafasi ya kugombea urais wakati kwa miaka nenda rudi walikuwa wanaimba ni fisadi!!

Sasa endeleeni na siasa zenu za kuona walio serikalini ni Malaika wasiofanya makosa na kwahiyo kila watendalo linapaswa kupigiwa vigelegele hata kama ni la kijinga!!!

Usiseme kila mtu. Sema mimi. Unachoelewa wewe ni wewe. Hata siku moja usilazimishe kila mtu akubaliane na hoja yako
 
How would you feel if someone from nowhere decided to slander your business..

In truth, what you just did could result to various repercussions - Jamaa atapoteza wateja & does that make you happy??

Wahenga walisema fikiri kabla ya kutenda. Inakuaje kama unachokisema ni uongo! Basi tuseme watu wanatekwa na kupotea wakiwa hapo, how sure are you ni TISS wanahusika. Anyone can abduct anyone, bro.

Somethings stay better if they are not talked about.! Sio kila jambo ni la kusema.
 
Usiseme kila mtu. Sema mimi. Unachoelewa wewe ni wewe. Hata siku moja usilazimishe kila mtu akubaliane na hoja yako
Sasa kwanini unataka wengine wakubaliane na hoja zako wewe kiasi kwamba wakiamini tofauti na kile unachoamini wewe, basi kwako hao ni maadui wa taifa?

Btw, wewe hoja yako ililenga kwangu mimi, au....
Nani kakudanganya hivyo? Siasa ziko hivyo ever since. What I don't understand, we become very subjective If we don't get what we expect.

Tunasahau hii ni nchi yetu. Kuna watu wengi wanapenda kuona mambo yanaharibika. Wataharibikiwa wenyewe. Time will tell
Angalia hizo pluralism zinazoashiria "wao na sisi"!!!
 
Back
Top Bottom