Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

Hii Bar ipo Mikocheni B, (sina uhakika sana kwa sababu sina uenyeji na jiji la Dar)
Mara ya kwanza kufika kwenye hiyo bar nilipelekwa na girlfriend wangu siku ya pili baada ya kuwasili kutoka Australia.

Kipindi hicho ilikuwa mida ya jioni na mwenyeji wangu alinionya kuwa mwangalifu sana na kauli siku nikienda hapo peke yangu, nilipomuuliza, niwe mwangalifu kwa kauli zipi ?akanijibu, nisijaribu kuwa na kauli za kuisema vibaya serikali, kwa maana ya kuikosoa,kwa sababu imeshatokea watu kudakwa hapo bar, yaani unatoka kwenda chooni huko huko hurudi tena, wanakuona nyumbani baada ya siku 5 ukiwa umepigika hasa.

Enzi zile ilikuwa ni awamu ya nne,nimekaa nikajiuliza Kama awamu ya nne ilikuwa hivyo, je? Hali ikoje kwa awamu hii ya tano?
Ukienda umeenda jumla, hakuna kurudi.

RIP Ben Saanane
RIP Kanguye
RIP Azori Gwanda
RIP my best friend Eric, ulipotelea Rose Garden baada ya kuanza kukosoa serikali.
Bandiko la kuua biashara hili

Hakuna uthibitisho wowote wa uhusoka wa RG kwenye kupotea

Nasikitika Sana tumeamua kumchsfua mmoja
 
DAAH INA MAANA SERIKALI HAITAKI ISEMWE KWA MABAYA??!! AFU SI WANASEMAGA SERIKALI NI WATU NA WATU WENYEWE NDIO SISI!?!!
Wanasemaga serikali ya JK ilikua haipendi kutesa raia wake sasa ikawaje tena majasusi wa awamu ya 4 wakawa wanateka watu bar?
 
Sasa kwanini unataka wengine wakubaliane na hoja zako wewe kiasi kwamba wakiamini tofauti na kile unachoamini wewe, basi kwako hao ni maadui wa taifa?

Btw, wewe hoja yako ililenga kwangu mimi, au....Angalia hizo pluralism zinazoashiria "wao na sisi"!!!

Kazi ipo. For some reasons, we get what we deserve. Think about it. What we have our perfect match
 
Mitaa ile wamejaa sana kushoto kulia kusini na hata magharibi kitengo wajaaa
 
Ww sio serikali na ukitaka kujua ww sio serikali simama uwaambie watu mtaani kwako walale saa 12. Nadhani utapokea kichapo heavy ila Serikali inaweza waambia watu walale na wakalala bila kelele tena kwa awamu hii


Kuwa ww ni Serikali hizo ni propaganda tu ili kukupumbaza
DAAH INA MAANA SERIKALI HAITAKI ISEMWE KWA MABAYA??!! AFU SI WANASEMAGA SERIKALI NI WATU NA WATU WENYEWE NDIO SISI!?!!
 
Angalizo
Hata kuwasema vibaya mabaharia unapokuwa kwenye hayo maeneo ni kosa la jinai
 
Duh hio bar sio kabisa..
Maana bia ya kwanza na pili watu tunaanza kuongea story za kawaida tu

Bia ya tatu na nne lugha inabadilika kidogo kingereza kinachanganywa.

Bia ya tano na sita tunaanza kuongelea siasa nyepesi za jimboni na mikoani.

Bia ya saba na nane tunaanza kuongea siasa konki za kitaifa na uchambuzi wa kiintelijensia (hapa kila mtu anakuwa agent wa kitengo)

Bia ya tisa na kumi ni kuongea siaza za kimataifa...hapa wakina carl max wanachambuliwa kama tunachambua kikosi cha simba na yanga..

Bia ya kumi na moja tunainywa njiani wakati wa kurudi hom.
UNAKUNYWA BEER CHACHE SANA AISEE...... 11???
 
Hii Bar ipo Mikocheni B, (sina uhakika sana kwa sababu sina uenyeji na jiji la Dar)
Mara ya kwanza kufika kwenye hiyo bar nilipelekwa na girlfriend wangu siku ya pili baada ya kuwasili kutoka Australia.

Kipindi hicho ilikuwa mida ya jioni na mwenyeji wangu alinionya kuwa mwangalifu sana na kauli siku nikienda hapo peke yangu, nilipomuuliza, niwe mwangalifu kwa kauli zipi ?akanijibu, nisijaribu kuwa na kauli za kuisema vibaya serikali, kwa maana ya kuikosoa,kwa sababu imeshatokea watu kudakwa hapo bar, yaani unatoka kwenda chooni huko huko hurudi tena, wanakuona nyumbani baada ya siku 5 ukiwa umepigika hasa.

Enzi zile ilikuwa ni awamu ya nne,nimekaa nikajiuliza Kama awamu ya nne ilikuwa hivyo, je? Hali ikoje kwa awamu hii ya tano?
Ukienda umeenda jumla, hakuna kurudi.

RIP Ben Saanane
RIP Kanguye
RIP Azori Gwanda
RIP my best friend Eric, ulipotelea Rose Garden baada ya kuanza kukosoa serikali.
Hii ni juzi au upuuzi?
 
Sasa kama sisi ni daraja la mwisho mbona majanga ya asili kama matetemeko huwa yanawatandika hao binadamu daraja la 1
Bukoba walivyopigwa na tetemeko walikuwa wazungu?
Haiti yote hadi ikulu ya Rais ilipigwa na tetemeko walikuwa wazungu?
Kuna janga kubwa la asili linaloshinda ujinga na umaskini?
 
Pole sana hutakuja kuelewa hata siku moja
Kila kitu kipo wazi, hakuna Siri, hiyo ni idara failure kabisa, idara inayo mobilize resources ili ku deal na maskini na mnyonge Kama mimi eti kisa kaikosoa serikali, idara gani hiyo?
Inatakiwa ivunjwe na kuundwa upya
 
Mi napenda sana hii kazi ya kuvaa vile vi head phone jamaa wana raha wale wanasikiliza mziki huku wanafanya kazi zao

Daah si madokta hatuna hiyo
Zile ni headphone za mawasiliano siyo muziki mkuu, huzivaa ili wapate Taarifa kutoka kwa Wenzao endapo eneo hilo pengine Rais hayupo salama kuendelea kuwepo na wao humtoa hapo haraka sana
 
Halafu kuna watu wanajidanganya kupambana na serikali. Pote duniani hakuna anayeishinda serikali.
Muulizeni yule mzungu wa ndege wa SA.
Kweli wewe ni the Idiot hasa, watu hawawezi kushindana na Mungu tu, serikali kitu gani?
Kila leo Duniani serikali zinaangushwa na watu,
Yuko wapi Gaddafi?
Yuko wapi Mobutu?
Yuko wapi Samuel Doe?
Yuko wapi Saddam!?
Yuko wapi Bokassa?
Yuko wapi Compaore?
Yuko wapi Bashir?
Yuko wapi Milosevic?
Hao walitolewa madarakani na mbuzi?
Na CCM itaondoka muda ukifika, stop being an Idiot .
 
Back
Top Bottom