Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

Hii Bar ipo Mikocheni B, (sina uhakika sana kwa sababu sina uenyeji na jiji la Dar)
Mara ya kwanza kufika kwenye hiyo bar nilipelekwa na girlfriend wangu siku ya pili baada ya kuwasili kutoka Australia.
Kipindi hicho ilikuwa mida ya jioni na mwenyeji wangu alinionya kuwa mwangalifu sana na kauli siku nikienda hapo peke yangu, nilipomuuliza, niwe mwangalifu kwa kauli zipi ?akanijibu, nisijaribu kuwa na kauli za kuisema vibaya serikali, kwa maana ya kuikosoa,kwa sababu imeshatokea watu kudakwa hapo bar, yaani unatoka kwenda chooni huko huko hurudi tena, wanakuona nyumbani baada ya siku 5 ukiwa umepigika hasa.
Enzi zile ilikuwa ni awamu ya nne,nimekaa nikajiuliza Kama awamu ya nne ilikuwa hivyo, je? Hali ikoje kwa awamu hii ya tano?
Ukienda umeenda jumla, hakuna kurudi.
RIP Ben Saanane
RIP Kanguye
RIP Azori Gwanda
RIP my best friend Eric, ulipotelea Rose Garden baada ya kuanza kukosoa serikali.
Ipo Dodoma Area C, inapendwa sana na wasiojulikana na wabunge baada ya Chako ni chako.
 
Sasa utaendaje kuisema serikali bar
Serikali ni ya watu kwa ajili ya watu, kwa hiyo serikali husemwa popote na watu wake, isipokuwa serikali za kishenzi na kidikteta ndo huwezi kuongea lolote ,mbona hapa Australia watu hui challenge serikali kila kona ya nchi hadi kwenye ma Casino?
Mkiambiwa kuwa nyie waafrika ni Binadamu daraja la mwisho mnachukia, kumbe Hujui hata maana ya serikali
 
Hii Bar ipo Mikocheni B, (sina uhakika sana kwa sababu sina uenyeji na jiji la Dar)
Mara ya kwanza kufika kwenye hiyo bar nilipelekwa na girlfriend wangu siku ya pili baada ya kuwasili kutoka Australia.
Kipindi hicho ilikuwa mida ya jioni na mwenyeji wangu alinionya kuwa mwangalifu sana na kauli siku nikienda hapo peke yangu, nilipomuuliza, niwe mwangalifu kwa kauli zipi ?akanijibu, nisijaribu kuwa na kauli za kuisema vibaya serikali, kwa maana ya kuikosoa,kwa sababu imeshatokea watu kudakwa hapo bar, yaani unatoka kwenda chooni huko huko hurudi tena, wanakuona nyumbani baada ya siku 5 ukiwa umepigika hasa.
Enzi zile ilikuwa ni awamu ya nne,nimekaa nikajiuliza Kama awamu ya nne ilikuwa hivyo, je? Hali ikoje kwa awamu hii ya tano?
Ukienda umeenda jumla, hakuna kurudi.
RIP Ben Saanane
RIP Kanguye
RIP Azori Gwanda
RIP my best friend Eric, ulipotelea Rose Garden baada ya kuanza kukosoa serikali.
Sidhani km huu mkeka wako unauhalisia labda ulitaka kutukumbusha hao watu uliowataja mwishoni. Hakuna serikali ambayo haipendi kukosolewa kwani ni chanzo cha maendeleo. Inakuwa kosa kama utakosoa kwa kutukana na pia sio kwamba utakapoikosoa serikali bac utapata majibu wakati huohuo kwani mambo ni mengi ila muda ni mchache.
 
Back
Top Bottom