Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

Serikali ni ya watu kwa ajili ya watu, kwa hiyo serikali husemwa popote na watu wake, isipokuwa serikali za kishenzi na kidikteta ndo huwezi kuongea lolote ,mbona hapa Australia watu hui challenge serikali kila kona ya nchi hadi kwenye ma Casino?
Mkiambiwa kuwa nyie waafrika ni Binadamu daraja la mwisho mnachukia, kumbe Hujui hata maana ya serikali
Sasa kama sisi ni daraja la mwisho mbona majanga ya asili kama matetemeko huwa yanawatandika hao binadamu daraja la 1
 
Nyie mnayoifahamu na kuitilia mashaka ni bar ya Rose Garden tu?
KWA taarifa yenu, mnatakiwa muwe makini sana na watu mnaoishi nao pamoja, jirani zenu, wenza wenu, wafanya kazi wenu wa ndani, rafiki zenu wa karibu, wafanya kazi wenzenu mnaoshinda nao pamoja, n.k. Muwe makini sana kupita kiasi na watu wenu wa karibu, hao ndio Mara zote huwa wanatumika kuwaangamizeni, "kikulacho ki nguoni kwako".
Kwenye maeneo yote ya starehe, kwenye mikusanyiko ya watu, vijiwe vya bodaboda, sehemu za kazi, n.k hawa watu wapo,
 
Nyie watu ni dhaifu sana sijawahi kuona, una hakika kabisa kuwa nina chuki na idara? Idara dhaifu hii niichukie so what? Idara iliyojikita kuhujumu upinzani badala ya kuhujumu mataifa yenye nguvu ili tupae kiuchumi, eti idara inawaua kina Ben Saanane sisimizi kabisa .
Pathetic...

Pole sana hutakuja kuelewa hata siku moja
 
Hii Bar ipo Mikocheni B, (sina uhakika sana kwa sababu sina uenyeji na jiji la Dar)
Mara ya kwanza kufika kwenye hiyo bar nilipelekwa na girlfriend wangu siku ya pili baada ya kuwasili kutoka Australia.
Kipindi hicho ilikuwa mida ya jioni na mwenyeji wangu alinionya kuwa mwangalifu sana na kauli siku nikienda hapo peke yangu, nilipomuuliza, niwe mwangalifu kwa kauli zipi ?akanijibu, nisijaribu kuwa na kauli za kuisema vibaya serikali, kwa maana ya kuikosoa,kwa sababu imeshatokea watu kudakwa hapo bar, yaani unatoka kwenda chooni huko huko hurudi tena, wanakuona nyumbani baada ya siku 5 ukiwa umepigika hasa.
Enzi zile ilikuwa ni awamu ya nne,nimekaa nikajiuliza Kama awamu ya nne ilikuwa hivyo, je? Hali ikoje kwa awamu hii ya tano?
Ukienda umeenda jumla, hakuna kurudi.
RIP Ben Saanane
RIP Kanguye
RIP Azori Gwanda
RIP my best friend Eric, ulipotelea Rose Garden baada ya kuanza kukosoa serikali.

Rose garden ni baa ya kimkakati.

Ipo kwenye Prime location.

Ni eneo la kimkakati yaani strategic point.

Ni kiunganishi kizuri kwa baa ile ingine ya Makumbusho ingawa Rose Garden ipo well modernised and maintained, angalia vyoo, huduma, vyakula na sehemu hata pool tables.

Ni baa poa sana na mimi ni mteja wa kila mara hapo na ukinikosa hapo basi utanikuta makumbusho au pale JKT.

Nikimaliza biashara yangu ya kuchoma chips basi huwa natinga hapo kupata moja moto moja baridi.

Ila sidhani kama wateja wote wa hapo ni hao unaowadhani, bali ni watu wenye mifuko mizuri kidogo.

Karibu sana chief.

🙂🙂
 
Hii Bar ipo Mikocheni B, (sina uhakika sana kwa sababu sina uenyeji na jiji la Dar)
Mara ya kwanza kufika kwenye hiyo bar nilipelekwa na girlfriend wangu siku ya pili baada ya kuwasili kutoka Australia.
Kipindi hicho ilikuwa mida ya jioni na mwenyeji wangu alinionya kuwa mwangalifu sana na kauli siku nikienda hapo peke yangu, nilipomuuliza, niwe mwangalifu kwa kauli zipi ?akanijibu, nisijaribu kuwa na kauli za kuisema vibaya serikali, kwa maana ya kuikosoa,kwa sababu imeshatokea watu kudakwa hapo bar, yaani unatoka kwenda chooni huko huko hurudi tena, wanakuona nyumbani baada ya siku 5 ukiwa umepigika hasa.
Enzi zile ilikuwa ni awamu ya nne,nimekaa nikajiuliza Kama awamu ya nne ilikuwa hivyo, je? Hali ikoje kwa awamu hii ya tano?
Ukienda umeenda jumla, hakuna kurudi.
RIP Ben Saanane
RIP Kanguye
RIP Azori Gwanda
RIP my best friend Eric, ulipotelea Rose Garden baada ya kuanza kukosoa serikali.

Eric ndio nani? AZORY naye alikamatwa RG? Kazi mnayo maana sidhani kama kuna bar haina majasusi
 
Nyie watu ni dhaifu sana sijawahi kuona, una hakika kabisa kuwa nina chuki na idara? Idara dhaifu hii niichukie so what? Idara iliyojikita kuhujumu upinzani badala ya kuhujumu mataifa yenye nguvu ili tupae kiuchumi, eti idara inawaua kina Ben Saanane sisimizi kabisa .
Pathetic...
Well said
 
Ni Eric tu, walianza kumfuatilia Rose Garden, kufika nyumbani wakamzoa hadi leo mwaka wa pili..., hakuonekana Gereza lolote, wala kituo chochote cha police ,wala mochwari zote, Eric alipotezwa Kama Ben Saanane
Eric mbona kesi yake inajulikana ni ya utakatishaji fedha na haina zamana ,au kuna Eric wangapi?,au sijaelewa comment yako?
 
Back
Top Bottom