Romney kushinda kesho...

Romney kushinda kesho...

Status
Not open for further replies.
ELECTROL vOTE ni mfumo unanishangaa, Obama hata akishinda kwenye popula vote bado naamini anaweza kuangukia pua kupitia mtindo huo wa electro votes
 
Wow! Democratic projected to win senate seats in Massachusetts and Indiana beating Republic in both seats.
 
Obama wins New Hampshire. Romney was there yesterday.
 
Love Fox Nuwz, Kama huwajui unawezafikiri Romney anashinda landslide hahahaha ahahahah!
 
aisee.. ngoja tuone inavyokwenda lakini inaonekana Obama anaweza kurudi kwani majimbo yote niliyoguess yanaweza kwenda kwa Romney bado hata moja halijaenda kwa Romney...
 
We nawee una matatizo viile vile sasa kutoa maoni yangu ni sawa na kujua kila kitu? kichwa kama embe la kukopa

una mawazo ya kidikteta. hurusu mawazo mengine mbadala. utaumbuka na utabiri wako ambao huwa hautimii, sijui ulisoma chini ya embe au una undugu na pele ambaye utabiri wake huwa ni kinyume chake
 
Msisahau hii thread inatabiri ushindi wa Romney!Mimi nimeshajiandaa kuwa very dissapointed Obama akishindwa!Ila i'm optimistic,ni very close but i have a feeling that tonight is gonna be a good night even if a long one.
 
Love Fox Nuwz, Kama huwajui unawezafikiri Romney anashinda landslide hahahaha ahahahah!

Oyaaaahh......ngoma bado imelala kwenu hii.......Dems msijipe matumaini......Fox News mpaka kieleweke.......
 
Oyaaaahh......ngoma bado imelala kwenu hii.......Dems msijipe matumaini......Fox News mpaka kieleweke.......

Hahahaha hahahaha! Just a simple question, HIVI unawezaje kushinda ur 2 home states Halafu ukashinda uchaguZi?
 
aisee.. ngoja tuone inavyokwenda lakini inaonekana Obama anaweza kurudi kwani majimbo yote niliyoguess yanaweza kwenda kwa Romney bado hata moja halijaenda kwa Romney...

Badilisha title ya thread fasta kabla wale wabaya wako wa Chadema hawajaamka.

Mbaya zaid Romney/Ryan first ticket to lose both candidates' home states since 1972 as Obama takes WI and MI
 
aisee.. ngoja tuone inavyokwenda lakini inaonekana Obama anaweza kurudi kwani majimbo yote niliyoguess yanaweza kwenda kwa Romney bado hata moja halijaenda kwa Romney...

bora umekiri we ni kilaza huweza kuwaza kwa kina. guessing zako sio za logic, ila ni kama za "tossing a coin" ambayo obvious haihitaji akili kujua a head or tail may appear
 
Badilisha title ya thread fasta kabla wale wabaya wako wa Chadema hawajaamka.

Mbaya zaid Romney/Ryan first ticket to lose both candidates' home states since 1972 as Obama takes WI and MI

Mkuu umesahau Mass
 
Oyaaaahh......ngoma bado imelala kwenu hii.......Dems msijipe matumaini......Fox News mpaka kieleweke.......
Hamwendi mahali bila Ohio,huko Fix wanasemaje kuhusu OH?What about FL?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mods...badilisheni Title....andikeni "Romney Kushinda Uchaguzi"!!.........
 
Hahaha ndani ya Romney's campaign in Boston wanaangalia fox Nuwz, that just tells u how pessimistic these guys are
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom