Role Model wako ni nani ndani ya Jf?

Role Model wako ni nani ndani ya Jf?

kwanini umewachagua hawa?
Wewe ulipomchagua ritz hukutoa sababu zako.
Mimi baadhi ya wangu, lakini sio wote ni:
The Finest
AshaDii
Katavi
The Modest
Afrodenzi
The Boss
Kisukari
Mwanajamiione
Nyani Ngabu
...............Orodha kubwa. Kila mmoja ana "role" yake ambayo ni mfano mwema kwangu kuiga.
 
sina role Model kwa sasa maana ndani ya miezi 6, JF imevamiwa hata wale vichwa nao wameanza kuonekana bomu.
 
Menyidyo na paw ndo wanafunika. kwa karibu ni invisible.
 
sina role Model kwa sasa maana ndani ya miezi 6, JF imevamiwa hata wale vichwa nao wameanza kuonekana bomu.

kwahiyo kwa sasa role model wako ni wewe mwenyewe!
 
Naamini wote waliosema hawana ma-role model ndani ya jf ni wana wivu, hata kama jamvini hawajataja ila mioyoni mwao wanawakubali.
 
Naamini wote waliosema hawana ma-role model ndani ya jf ni wana wivu, hata kama jamvini hawajataja ila mioyoni mwao wanawakubali.
Ndg singly-sighted, not all of us are homos.
 
mtakatifu ivuga na mchungaji wangu masanilo
 
VoiceofReason, huyu mtu namfagilia sana, I wish to meet him/ her one day. he/she so wise.
 
Najua kila mmoja ana role model wake ndani ya jf.

Mimi binafsi role model wangu ni ritz.

Je! Wewe role model wako ni nani?.

Nashukuru sana Mzee, tupo pamoja kwenye mapambano Tanzania bila Udini inawezeka
 
Back
Top Bottom