Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,244
Another gayish thread..
nohomo.
Another gayish thread..
kwani role model ni lazma ufuate mawazo yake?.
Role Model: a person whose serves as ana example, whose behaviour is emulated by others.
Wh having a Role Model:
By having a role model, we can see how others live their lives and learn from their mistakes and success. Rather than having to grope arround in the dark, we have a roadmap put in front of us.
nimeisoma. But bado sioni ulazima wa kunifanya niwe naigaiga ID ya mtu.soma hiyo post hapo juu.
This message is hidden because Mzee is on your ignore list.Ninan wivu na watu waliokwisha fika MBINGUNI not otherwise.Mzee fikiria mambo ya msingi wewe jitu zima
kwanini umewachagua hawa?
na mimi je!!!
Yep nohomonohomo.
Ay yay yay, mtoto wa kike mgumu sana kusema 'I missed u'? Hof na mashaka ni kwako.Abdulhalim habari ya siku?? (naomba usinibonde na mawe sijakuona siku nyingi)
Mkuu tatizo lao unapenda kila kitu kiende kwa style yako lol. Waache watu na thread zao, mtu kajiskia tu .
Ajabu sijakuona kwenye jukwaa la man united jumapili, au wewe unatuandama sisi tu?
Umejuaje kama ni wanawake?mbona kwenye list yako kuna wanawake wengi?
Mkuu tatizo lao unapenda kila kitu kiende kwa style yako lol. Waache watu na thread zao, mtu kajiskia tu .
Ajabu sijakuona kwenye jukwaa la man united jumapili, au wewe unatuandama sisi tu?