Role Model wako ni nani ndani ya Jf?

Role model wa kazi gani???

Role Model: a person whose serves as ana example, whose behaviour is emulated by others.

Wh having a Role Model:
By having a role model, we can see how others live their lives and learn from their mistakes and success. Rather than having to grope arround in the dark, we have a roadmap put in front of us.
 
I have so many role models.kuna wa siasa, kuna wa mapenzi, kuna ambaye ana a strong heart and I look up to him/her for strengh. Kuna ambaye yuko very intelligent, ama very spiritual. Kuna wajeuri ambao they can stand uo for what the blv in. Kuna wenye a big hearty sense of humor. There is something to learn and pick from @one around,why have one role model?

sijaku limit kuwa ni lazma awe mmoja. Kwa upande wangu yupo mmoja.
 
Najua kila mmoja ana role model wake ndani ya jf.

Mimi binafsi role model wangu ni ritz.

Je! Wewe role model wako ni nani?.
Mzee mzima huna akili hivi kwanini watz mnapenda sana kulinganisha mambo nani zaidi ya yule ya hiki na kile.Jizee zima kama hili linalinganisha watu.Upuuzi mkubwa
 
Mzee mzima huna akili hivi kwanini watz mnapenda sana kulinganisha mambo nani zaidi ya yule ya hiki na kile.Jizee zima kama hili linalinganisha watu.Upuuzi mkubwa

jaribu kusoma post niliyomjibu Lizy utajua nini ninachomaanisha.
 
Mzee mzima huna akili hivi kwanini watz mnapenda sana kulinganisha mambo nani zaidi ya yule ya hiki na kile.Jizee zima kama hili linalinganisha watu.Upuuzi mkubwa

bila ya kulinganisha tutawezaje kujua hiki kizuri na kile kibaya.

Tatizo lako ni wivu, unashindwa kuwakubali wenzako.
 
bila ya kulinganisha tutawezaje kujua hiki kizuri na kile kibaya.

Tatizo lako ni wivu, unashindwa kuwakubali wenzako.
Ninan wivu na watu waliokwisha fika MBINGUNI not otherwise.Mzee fikiria mambo ya msingi wewe jitu zima
 
Back
Top Bottom