Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
Fisadi na mwizi Daniel YonaYeye aseme mpare yoyote maarufu hata mmoja aliyefanya vitu vibaya na vya roho mbaya.
Mkuu Mimi ni mpare / mwathu ila hili la kusema wazigua wasambaa na wachaga sidhani kama ni kweli ila wataita na wakamba ni kweli maana ndio asili ya wapare walipotokea.Sio Wapare, bali Vam-phare, au Va-athu / Va-asu. Katika jamii za Kichagga kwa mfano Wamarangu, Wakibosho, Je kuna maneno kama hayo?
Wapare au Waasu ni mchanganyiko wa makabila mengi ikiwemo Wakamba, Wataita, Wasambaa, Wazigua, Wachaga, na wengine. Habari kwamba waliwahi kufukuzwa mahali fulani na Wachagga ni uongo wa mchana kweupe.
Commenti bora kabisa hiiKuna watu wanapenda kuishi kiujanjaujanja na kudhulumu wenzao. Sasa ukifanya haya kwa mpare ndo unakuja mbio ooh wana roho mbaya, wapenda kesi nk.
Mpare hawezi kukukuta barabarani akakufungulua kesi hadi uanze wewe.
Basi ni nchi nzima sasaWapare wanakuchekea mdomoni ndani wamenuna ni mabingwa wa fitina,na ukabila na kupendeleana.Hata viongozi wengi wa dini hawapendi kushirikiana na wapare wanasema ni wabishi na wenye misimamo isiyo ya wastani.Hawa huenda kwa ubahili watasshika namba mbili baada ya watu wa Iringa na Njombe,maana wale kwa hila na unafki wanapaswa kupewa tuzo.
😂😂Rais aliwauliza wananchi wa upareni wamefanya jambo gani la maendeleo wakati serikali ikiendelea kufanya mambo mengine kuwaunga mkono? Wakajibu "tumejenga mahakama"
Father umeambiwa ubahili wewe unasema haki ?Wapare hawana hiyo tabia.
Hakuna jamii inayopenda Haki kwenye Taifa hili kama Wapare, ndio maana unaambiwa wanapenda Kesi.
Na hakuna mtu anayependa Haki akawa na Roho Mbaya.
Ingawaje exceptionals wapo.
Hata wapare wako mbali, wengi wanatoboaNaona ni ubahili uchwara , wazungu ni bahili na roho mbaya ila wapo mbali kimaendeleo. Wapare acheni hizo!!
Roho mbaya na ubahili wa Wapare ilitokana na mazingira na maisha magumu. Hii ni baada ya kufukuzwa kutoka kwenye ardhi nzuri na Wachaga - Wapare = Wafukuze.
Kwa mazingira magumu katika ardhi kavu ya milima, ubahili na roho mbaya ilibidi ziwa ni silaha za maisha. Maisha haya ndiyo wameyazoea hadi leo.
Hawali nyamaSema jomba mpare akiwa msabato ubahili unakuwa promax. Msabato wa kipare hali nyama kabisa..... halafu Mungu ni kama alijua usabato utawafaa sana wapare ndo maana ukaanzia huko kwa hapa Tanzania.
Father umeambiwa ubahili wewe unasema haki ?
Fisadi na mwizi Daniel Yona
Fisadi na Mwizi Chediel Mgonja