Roho mbaya na ubahili Wapare walivitolea wapi?

Hawa wajomba hawana roho mbaya ila wivu, unafiki na ubahiri wa kijinga. Nasikia ubahiri ni tukio liliwahi kitokea enzi za mababu zao nafikiri ilikiwa ni njaa, sasa wote wamefanya kama basic need mambo kijinga kabisa.

Nikiwa karibu na hawa jamaa huwa nakuwa makini sana. Maana anaweza kukuchekea usoni kumbe anakusnich kinyumenyume
 
Ni moja ya makabila machache sana Tanzania ambao jamii zao wengi wamefanya maendeleo makubwa kimaisha.

Wapare wanapenda Haki.
Wapare Wana haki za kijinsia.
Jambo ambalo mtu mwingine akioa binti wa kipare inaweza kumsumbua kama ataleta mfumo Dume wa kishenzi usio na haki.

Wapare wanapenda Kusoma.
Wapare sio golikipa wanapenda kufanga KAZI.

Wapare hujali familia kuliko kitu chochote.

Mabinti walioolewa na Wanaume wakipare wanajua Sisi tunajua kujali na kutunza familia.
 
Naona ni ubahili uchwara , wazungu ni bahili na roho mbaya ila wapo mbali kimaendeleo. Wapare acheni hizo!!

Sasa kama kipato ni kidogo tusiwe bahili?
Tunasomesha
Tunataka kujenga
Tunataka kusaidia nyumbani na ukweni.
Kipato hakifiki Milioni Moja unataka tusiwe mabahili?

Ubahili ni mhimili wa Upare hatuuachi mpaka tufikie malengo
 
Wapare wanapenda Haki.
Wapare Wana haki za kijinsia.
Jambo ambalo mtu mwingine akioa binti wa kipare inaweza kumsumbua kama ataleta mfumo Dume wa kishenzi usio na haki.

Wapare wanapenda Kusoma.
Wapare sio golikipa wanapenda kufanga KAZI.

Wapare hujali familia kuliko kitu chochote.

Mabinti walioolewa na Wanaume wakipare wanajua Sisi tunajua kujali na kutunza familia.
Kumbe wewe mpare aisee, ndo maana kila wakati makala ndeeefu humu. Wapare kwa kesi mpewe maua yenu.
 
wapare w
Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
enye wanzifanyia roho mbaya nafsi zao,,,,wanaweza wakakaamwezi mzima bila kula nyama, na kila sebule ya mpare ina picha ya samaki,,,yaani akikata tonge,anaangalia picha ya samaki ndo anachvya tonge mchuzi!! wana balaa hao jamaa balaa,,,,,,,,alafu ni wafupi kama nyundo
 
Hawa wajomba hawana roho mbaya ila wivu, unafiki na ubahiri wa kijinga. Nasikia ubahiri ni tukio liliwahi kitokea enzi za mababu zao nafikiri ilikiwa ni njaa, sasa wote wamefanya kama basic need mambo kijinga kabisa.

Nikiwa karibu na hawa jamaa huwa nakuwa makini sana. Maana anaweza kukuchekea usoni kumbe anakusnich kinyumenyume
wivu, unafiki,umalaya and whatever hichi ni kirusi kwa makabila yoteee tz kama
Hawa wajomba hawana roho mbaya ila wivu, unafiki na ubahiri wa kijinga. Nasikia ubahiri ni tukio liliwahi kitokea enzi za mababu zao nafikiri ilikiwa ni njaa, sasa wote wamefanya kama basic need mambo kijinga kabisa.

Nikiwa karibu na hawa jamaa huwa nakuwa makini sana. Maana anaweza kukuchekea usoni kumbe anakusnich kinyumenyume
ila hapo kwenye wivu ,unafiki, ubnafsi hizi ni sifa za mtu mweusi kwa kabila zoteeee Tanzania na nje ya nchi ila kila kabila lina sifa yake moja kuu ambayo linayo.
 
UBAHILI SIO DHAMBI NI KUJITAHIDI KUISHI CHINI YA KIPATO UNACHOKIPATA. JARIBU KUISHI ZAIDI YA UNACHOKIPATA UTAONA FAIDA NA HASARA YA MADENI
 
Wapare wanapenda Haki.
Wapare Wana haki za kijinsia.
Jambo ambalo mtu mwingine akioa binti wa kipare inaweza kumsumbua kama ataleta mfumo Dume wa kishenzi usio na haki.

Wapare wanapenda Kusoma.
Wapare sio golikipa wanapenda kufanga KAZI.

Wapare hujali familia kuliko kitu chochote.

Mabinti walioolewa na Wanaume wakipare wanajua Sisi tunajua kujali na kutunza familia.
kwa kujali familia nawapa heko mahali sana familia kwa kweli hasa watoto.
 
Back
Top Bottom